Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Kujaa kwa Bwawa la Mwl. Nyerere ni aibu kubwa kwa mafisadi

Nyie wachunga ng'ombe mna tabu san, mlisema bwawa limetelekezwa sababu ya makamba. Leo mmekuja na ngonjera nyingine! Mfuga ng'ombe ni mfuga ng'ombe tu hata uumpe ukuu!!
Wamefanya Kaz nje ya ratiba inayotakiwa
 
Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?

Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Kwanza Hawa Hawa ndiyo walikuwa wakidai magu amekufa mama hataweza kulikamilisha mama kumtoa kalima wakashadadiaje mara January haweze mpaka January akaamu wamuuwe leo wanatuhumu wengine
 
Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Tani watanzania mnajichanganya, kujaa kwa hilo bwawa ni moja kati ya mambo mema kabisa yanayotokea january makamba, yeye ni Waziri wa nishati, maanake umeme ukianza kuwa wa uhakika ni sifa zake hizo kuwa alikuwapo miongoni mwa waliosimamia hilo
 
Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Hahahaha
 
Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa.

Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3 kwenye eneo lenye ukubwa kama mkoa wa Dar es Salaam.

View attachment 2513448
Limejaa toka February, miezi 10 baadae bado linajaa tu?
WAPALESTINA wa Tanzania bhana, sasa fungulieni maji maana litapasuka, limejaa sana.
Mnazalisha nini humo maana umeme wa mgao toka mwaka 1995 haijawahi kutokea hivi.
 
Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa.

Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3 kwenye eneo lenye ukubwa kama mkoa wa Dar es Salaam.

View attachment 2513448
Walamba asali wanaishi kwa kukosesha watu huduma ili kuonekana upungufu. Sasa bila shaka wanatamani kumwaga maji ya bwawa au watachelewesha kukamilisha mitambo au chochote kufuatana na ushauri wa mabeberu mradi tu tatizo la umeme lisiishe milele nchini. Yote hayo wanafanya ili kuendeleza maslahi binafsi.
 
Walamba asali wanaishi kwa kukosesha watu huduma ili kuonekana upungufu. Sasa bila shaka wanatamani kumwaga maji ya bwawa au watachelewesha kukamilisha mitambo au chochote kufuatana na ushauri wa mabeberu mradi tu tatizo la umeme lisiishe milele nchini.
Naamini mpaka siku hilo Bwawa la Stigler linazinduliwa litabidi lifungwe tena kwaajili ya ukarabati, Maji yatapotoka sijui.
 
Back
Top Bottom