Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
- #41
Miti million 3 iliyokatwa vipiSi mlisema mradi wa bwawa umekufa? Makamba aliharibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miti million 3 iliyokatwa vipiSi mlisema mradi wa bwawa umekufa? Makamba aliharibu?
Sio picha halisi hiyo!!Kama kweli nipicha Halisi Jambo zuri sana
Eagypt, wasimamaizi,Jambo jema kabisa but huwa najiuliza maswali mengi kuhusu Egypt yaan kumbe wenzetu wapo mbali namna hiyo mpaka kuja kutengeneza bwawa how sisi elimu yetu ipoje siku anatangazwa nilistuka sana nikawa na wasiwasi kama wataweza
Kwa hiyo Egypt wanaweza kufanya miradi mikubwa ya ujenzi wowote ule
All in all nawapongeza sana na Serikali pia kwa kuchagua nchi ambazo ni za kawaida katika miradi
Kwa Kalemani lingekuwa lishaanza kutoa umeme sahizi..Nyie mbwa wa Sukuma Gang si ndiyo mlikuwa mnamshutumu Samia kuwa kwa kumuondoa Kalemani na kumuweka January Makamba bwawa lisingekamilika mbona mnajitoa ufahamu hivyo?
Okei ni jambo zuri tunachosubiri ni kuanza kufua umeme ili bei ishuke.
Jambo jema kabisa but huwa najiuliza maswali mengi kuhusu Egypt yaan kumbe wenzetu wapo mbali namna hiyo mpaka kuja kutengeneza bwawa how sisi elimu yetu ipoje siku anatangazwa nilistuka sana nikawa na wasiwasi kama wataweza
Kwa hiyo Egypt wanaweza kufanya miradi mikubwa ya ujenzi wowote ule
All in all nawapongeza sana na Serikali pia kwa kuchagua nchi ambazo ni za kawaida katika miradi
Bei kushuka hilo sidhani, ila watapandisha hata kwa kusingizia Ukraine tu.Okei ni jambo zuri tunachosubiri ni kuanza kufua umeme ili bei ishuke.
Kiki.Kama ni hivyo walizindua Nini Sasa!?
Akili zikichanganyika na haja kubwa ndiyo zinatoa upuuzi kama huu. Unafikiri kufua umeme wa ukubwa ule ni sawa na kufua umeme wa kuwashia taa ya baiskeli?Kwa Kalemani lingekuwa lishaanza kutoa umeme sahizi..
Yuko anaongoza malaikaPamoja na yooote, yule Mwamba aliyelala chato aka JPM alikuwa mwamba na chuma kwelikweli...
Si mchezo kuwa na maamuzi magumu na kuanzisha miradi mikubwa yoote hiyo kwa pamoja ni ujasiri na ndio tunasema JPM alikuwa mwamba aka mwanamume.
awamu zote hakuna hata aliyethubutu hata kujaribu kuligusa hilo fupa la stieggler zaidi ya blahblah tu, awamu zote hakuna aliyehata thubutu kukarabati reli zote zifanye kazi efficiently lakini mwamba aliamua kujenga SGR kabisa..
awamu zote hakuna hata aliyefikiri kujenga lile daraja pale busisi Mwanza kuelekea sengerema na Geita..
Miaka yooote tulikuwa tunalia na wami pale kuunganisha mikoa ya kaskazini na vifo vilitokea daily lakini Mwamba amri moja tu Daraja lile pale...
Pumzika kwa amani JPM umefanya kazi yako kwa nguvu zako zote kwaajili ya Tanzania, Mwenyezi Mungu akuondolee adhabu kaburi na akujalie Pepo pia kwa kusamehe dhambi zako.. Amen
Kwan point za Makamba kupinga ujenzi wa hilo bwawa miaka hiyo ya JPM hunazo?Nyie wachunga ng'ombe mna tabu san, mlisema bwawa limetelekezwa sababu ya makamba. Leo mmekuja na ngonjera nyingine! Mfuga ng'ombe ni mfuga ng'ombe tu hata uumpe ukuu!!
Na mwonekano wake ndio bwawa la Mwalimu litakavyokuwa,Kuna raia wale wavivu wa kudadisi na wepesi wa kudanganywa wataamini hii picha uliyoweka hapa imepigwa toka bwawa la Mwl. Nyerere...
Kazi kwako Mhariri
![]()
New unit of China's Baihetan hydropower station starts operation
A new power generation unit of Baihetan hydropower station in southwest China passed a 72-hour trial and started formal operation on Monday. Half of the all power generation units of the mega project are now in operation.news.cgtn.com
Ujazwaji maji Bwawa la Julius Nyerere wafikia mita 108
Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari. Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...www.jamiiforums.com