Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Si bora yawe yataharibu tu mitambo. Atatoa tender ya trillion 3 ya kujaza bwawa kwa kampuni XXX ili wachote maji Coco beach na kwenda kujaza bwawa.Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Okei ni jambo zuri tunachosubiri ni kuanza kufua umeme ili bei ishuke.
Sio kwamba anakata tena umeme ili auze majenereta?Si bora yawe yataharibu tu mitambo. Atatoa tender ya trillion 3 ya kujaza bwawa kwa kampuni XXX ili wachote maji Coco beach na kwenda kujaza bwawa.
Rest Easy Late Magufuli!
Nimecheka mnoSi bora yawe yataharibu tu mitambo. Atatoa tender ya trillion 3 ya kujaza bwawa kwa kampuni XXX ili wachote maji Coco beach na kwenda kujaza bwawa.
Rest Easy Late Magufuli!
Kwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?
Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Hashindwi yule jamaaNimecheka mno
Umenena kweliKwani unafikiri huo mradi wameumalizia kwa kupenda. Ni vile ulikuwa ushaenda mbali zaidi na hela yake inadaiwa marejesho. Ila ingekuwa kwa fedha zetu bila kufuatiliwa wasingeendelea nao.
Bei kushuka utasubiri sana..Okei ni jambo zuri tunachosubiri ni kuanza kufua umeme ili bei ishuke.
Ukiona hivyo ujue sindano imeingia vizuriNilikwambia una schizophrenia.
Hii comment yako inathibitisha hija yangu. Wahi hospital
Kwakweli ni aibu kubwa kwa Januari. Tunamshukuru sana Mama Samia kwa uamuzi makini.Hahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Wewe KENGE tuliza mshono!!Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?
Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Tunazungumzia mvua kunyesha na bwawa kujaa hata baada ya kukatwa miti millioni 3 kama ambavyo mliainisha hapo mwanzo juu ya uwezekano wa bwawa kujaa.Nyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?
Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Kama ni hivyo walizindua Nini Sasa!?Bwawa litajaa vp wakati maji yanaruhusiwa Kutoka upande wa pili sababu mradi Bado kukamilika?