Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
-
- #21
Limekamilika sasaMnawaonea ufipa ila wa kwanza kupinga huo mradi ni waziri wako wa nishati na mwenzake Nape bungeni walisimama na kupinga huo mradi kisa mazingira.Ufipa walikuwa wanatoa angalizo tu kuhusiana na mchakato.
Majizi mmeumbukaKwani hutaki likamilike?
Possibly itapanda !!Bei kushuka utasubiri sana..
Nani mwizi?Majizi mmeumbuka
Suala la bei kushuka halijawahi kutokea kwa nchi yetu bei ikipanda imepanda labda safari hii kutakua na mabadilikoOkei ni jambo zuri tunachosubiri ni kuanza kufua umeme ili bei ishuke.
Wewe.Nani mwizi?
Wapi na sehemu gani nilipo andika?Wewe.
Acha wizi.Wapi na sehemu gani nilipo andika?
Sehemu nionyeshe na si kupayuka kama umekunywa maji ya mfereji wewe ni onyeshe kwenye comment yangu.Acha wizi.
Maji hayazuiliwi kabisa kupita. Mto upande wa chini utaendelea kuwa na maji yanayohitajika kwa ajili ya kilimo na matumizi ya wanyama, binadamu nk. kama kawaida. Maji ya ziada ambayo wakati mwingine husababisha mafuriko ndio yanayotumika kujaza bwawa. Mabwawa hujengwawakati mwingine kwa ajili ya kuzuia mafuriko na kuweka maji ya akiba wakati wa ukameHii ndo point ila hawa walamba asali sidhani kama watafanya hivo
Haa Haa Ila Walitupanga Muda Wa Kujaza Watu Walisema Mbona Miaka Mingi SanaNaona majizi ya kura mlikuwa mnadanganyana kuwa hilo lambo litajaa maji baada ya miaka miwili. Tulikuwa tunawachora tu mnavyoongizana mjini.
Si mlisema mradi wa bwawa umekufa? Makamba aliharibu?Tunazungumzia mvua kunyesha na bwawa kujaa hata baada ya kukatwa miti millioni 3 kama ambavyo mliainisha hapo mwanzo juu ya uwezekano wa bwawa kujaa.
Kwa hiyo sasa hivi mmekubali Makamba na Samia wanapiga kazi?Kwakweli ni aibu kubwa kwa Januari. Tunamshukuru sana Mama Samia kwa uamuzi makini.
Wewe KENGE tuliza mshono!!
Mmepata aibu kajificheni!! Mwambie na mumeo Zitto kwamba mradi mlioukataa ndo hivyo Mungu kawaumbua