kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Wamefanya Kaz nje ya ratiba inayotakiwaNyie wachunga ng'ombe mna tabu san, mlisema bwawa limetelekezwa sababu ya makamba. Leo mmekuja na ngonjera nyingine! Mfuga ng'ombe ni mfuga ng'ombe tu hata uumpe ukuu!!
Well, sometimes kuna issue za fungu na wakandarasi, ni mradi ambao ulikua lazima ukamilike kwa namna yoyote ile!Wamefanya Kaz nje ya ratiba inayotakiwa
Kwanza Hawa Hawa ndiyo walikuwa wakidai magu amekufa mama hataweza kulikamilisha mama kumtoa kalima wakashadadiaje mara January haweze mpaka January akaamu wamuuwe leo wanatuhumu wengineNyie Sukuma Gang si ndio mlikuwa mkisema mradi umekufa sababu Kalemani wa Chato alitumbuliwa, akawekwa Makamba?
Leo hii linajazwa maji mnaanza kuja kivingine...!
Tani watanzania mnajichanganya, kujaa kwa hilo bwawa ni moja kati ya mambo mema kabisa yanayotokea january makamba, yeye ni Waziri wa nishati, maanake umeme ukianza kuwa wa uhakika ni sifa zake hizo kuwa alikuwapo miongoni mwa waliosimamia hiloHahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Siku zote Mungu ni mwemaMungu ni mwema!
HahahahaHahaha hapo january Makamba anaweza kukwambia maji hayo hayafai kwenye hilo bwawa hivyo yanatakiwa kufunguliwa yatolewe maana yataharibu mitambo! Na mitambo mipya itakuja 2025
Limejaa toka February, miezi 10 baadae bado linajaa tu?Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa.
Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3 kwenye eneo lenye ukubwa kama mkoa wa Dar es Salaam.
View attachment 2513448
Nasita sana kuwaamini hawa ccmKama kweli nipicha Halisi Jambo zuri sana
Walamba asali wanaishi kwa kukosesha watu huduma ili kuonekana upungufu. Sasa bila shaka wanatamani kumwaga maji ya bwawa au watachelewesha kukamilisha mitambo au chochote kufuatana na ushauri wa mabeberu mradi tu tatizo la umeme lisiishe milele nchini. Yote hayo wanafanya ili kuendeleza maslahi binafsi.Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi wa Ufipa.
Mafisadi yalitabiri bwawa hilo halitajaa kwa sababu Magufuli amekata miti milioni 3 kwenye eneo lenye ukubwa kama mkoa wa Dar es Salaam.
View attachment 2513448
Naamini mpaka siku hilo Bwawa la Stigler linazinduliwa litabidi lifungwe tena kwaajili ya ukarabati, Maji yatapotoka sijui.Walamba asali wanaishi kwa kukosesha watu huduma ili kuonekana upungufu. Sasa bila shaka wanatamani kumwaga maji ya bwawa au watachelewesha kukamilisha mitambo au chochote kufuatana na ushauri wa mabeberu mradi tu tatizo la umeme lisiishe milele nchini.
Naamini mpaka siku hilo Bwawa la Stigler linazinduliwa litabidi lifungwe tena kwaajili ya ukarabati, Maji yatapotoka sijui.