Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Wanachoogopa watu ni walichotuambia wamisionari kuwa ni dhambi. Umenena, ni starehe ya pekee Mungu aliyotuzawadia. Sio binadamu tu, kiumbe chochote chanye uhai.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ujue starehe ni suala subjective jambo ambalo ni starehe kwako si lazima liwe starehe kwa mwingine, kuna wengine starehe zao ni kula, kunywa, kulala, kusafiri, kusikiliza miziki, kutazama filamu, kufanya mazoezi nk starehe ziko nyingi sana mkuu ukiacha kufanya ngono, inategemea na akili na mwili wa mtu tu so hakuna starehe ya pekee kuliko zote ni saikolojia ya mtu tu
 
Kumbuka binadamu naye ni mnyama.
 
Ktk mktadha wa mleta mada kuna madhara gani?
- si nke wa ntu.
-si ntoto.
-kuna makubaliano.
Mosi kuna uwezekano wa kuzaa watoto halafu wazazi wakaachana na watoto wakalelewa na mzazi mmoja tu

Pili kwa tamaduni zetu tunaamini mwanamke ambaye ametembea na wanaume kadhaa ni malaya, hivyo hana maadili na hafai kuolewa ilihali kwa mwanaume akitembea na wanawake wengi ni rijali, sijui logically hilo linawezekana vipi ila kwa ngozi nyeusi eti linawezekana

Tatu kwenye jamii yetu tunaamini mwanamke aliyetembea na wanaume tofauti tofauti basi sehemu zake za siri zinakuwa kubwa, kiasi cha kufanya wanaume kuogopa kumuoa kwa kuhofia hawatafaidi tendo ipasavyo, hivyo hiyo inampunguzia huyo mwanamke credibility ya kuolewa kabisa
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…