Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Kujamiana siyo jambo baya endapo utazingatia haya

Wanachoogopa watu ni walichotuambia wamisionari kuwa ni dhambi. Umenena, ni starehe ya pekee Mungu aliyotuzawadia. Sio binadamu tu, kiumbe chochote chanye uhai.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ujue starehe ni suala subjective jambo ambalo ni starehe kwako si lazima liwe starehe kwa mwingine, kuna wengine starehe zao ni kula, kunywa, kulala, kusafiri, kusikiliza miziki, kutazama filamu, kufanya mazoezi nk starehe ziko nyingi sana mkuu ukiacha kufanya ngono, inategemea na akili na mwili wa mtu tu so hakuna starehe ya pekee kuliko zote ni saikolojia ya mtu tu
 
Uzinzi ndio uovu mkuu na ndio chanzo cha maovu yote duniani ikiwemo mapenzi ya jinsia moja

Solution ya haya yote ilikuwa ni kufanya hilo tendo kwenye ndoa tu ila watu wakatafuta visingizio vya kipumbavu vya kuhalalisha uzinzi

Na matokeo yake badala ya kuitwa tendo la ndoa limegeuka kuwa ngono tu ambayo hata wanyama wanaifanya
Kumbuka binadamu naye ni mnyama.
 
Ktk mktadha wa mleta mada kuna madhara gani?
- si nke wa ntu.
-si ntoto.
-kuna makubaliano.
Mosi kuna uwezekano wa kuzaa watoto halafu wazazi wakaachana na watoto wakalelewa na mzazi mmoja tu

Pili kwa tamaduni zetu tunaamini mwanamke ambaye ametembea na wanaume kadhaa ni malaya, hivyo hana maadili na hafai kuolewa ilihali kwa mwanaume akitembea na wanawake wengi ni rijali, sijui logically hilo linawezekana vipi ila kwa ngozi nyeusi eti linawezekana

Tatu kwenye jamii yetu tunaamini mwanamke aliyetembea na wanaume tofauti tofauti basi sehemu zake za siri zinakuwa kubwa, kiasi cha kufanya wanaume kuogopa kumuoa kwa kuhofia hawatafaidi tendo ipasavyo, hivyo hiyo inampunguzia huyo mwanamke credibility ya kuolewa kabisa
 
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:

  • Usijamiane na mme au mke wa mtu
  • Usijamiane na watoto
  • Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
  • Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa
  • Muhimu zingatia kuwa mnaridhiana na mtu unayetaka kucheza nae isiwe kinyume chake hii itakusaidia kujitetea pale mambo meusi yatakapokupata mana wote mnakuwa mliridhiana.
  • Usiendekeze ngono kiasi kwamba utaathiri familia yako

Endapo unazingatia haya basi wewe ngonoka mpaka pale kiuno kitakapovunjika hakuna atakayekusumbua kwani hayo ni maisha na starehe yako.

Kumbuka kuwa hili ni jambo la makubaliano na hakuna mtu au kiumbe yeyote anayeingilia makubaliano ya watu, huwa yanaingiliwa pale mmoja anapokuwa analalamika.

Zingatia zaidi makubaliano kati yako na mtu wako
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom