Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Yamekuwa yakisikika maneno:

"JF ni Raha sana."

Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.

Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.

Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda wazimu.

Kwa level za dunia kujimwambafai dhidi ya watunukiwa nobeli (nobel laureates) yaani aina ya kina Mandela, Obama, Tutu na wa namna hiyo kwa nini isiwe zaidi burudani kwa wenye kujua maana?

Wanasema waswahili:

"Aibu mbona naona miye?"

Huyu ndiye Mandela, kwa ufupi mno katika hulka yake kama binadamu:

"After I became president, I asked my escort to go to a restaurant for lunch. We sat down and each of us asked what we wanted.

On the front table, there was a man waiting to be served. When he was served, I said to one of my soldiers: go and ask that gentleman to join us. The soldier went and conveyed my invitation to him. The man got up, took his plate and sat down right next to me.

While he ate his hands trembled constantly and he did not lift his head from his food. When we finished, he said goodbye without looking at me, I shook his hand and he left.

The soldier told me:

Madiba that man must have been very ill, seeing as his hands didn't stop shaking while he ate.-

Absolutely no! the reason for his trembling is another.

Then I told him:

That man was the warden of the prison where I stayed. After he tortured me, I screamed and cried asking for some water and he came humiliated me, laughed at me and instead of giving me water, he urinated in my head.

He is not sick, he was afraid that I, now president of South Africa, would send him to prison and do to him what he did to me. But I'm not like that, this conduct is not part of my character, nor of my ethics.

′′Minds that seek revenge destroy states, while those that seek reconciliation build nations. Walking out the door to my freedom, I knew that if I didn't leave all the anger, hatred and resentment behind me, I would still be a prisoner."

- Nelson Mandela.
 
Kwa level za dunia kujimwambafai dhidi ya ya watunukiwa nobeli (nobel laureates) yaani aina ya kina Mandela, Obama, Tutu na wa namna hiyo kwa nini isiwe zaidi burudani kwa wenye kujua maana?

Wanasema waswahili:

"Aibu mbona naona miye?"

Huyu ndiye Mandela, kwa ufupi mno katika hulka yake kama binadamu:

"After I became president, I asked my escort to go to a restaurant for lunch. We sat down and each of us asked what we wanted.

On the front table, there was a man waiting to be served. When he was served, I said to one of my soldiers: go and ask that gentleman to join us. The soldier went and conveyed my invitation to him. The man got up, took his plate and sat down right next to me.

While he ate his hands trembled constantly and he did not lift his head from his food. When we finished, he said goodbye without looking at me, I shook his hand and he left.

The soldier told me:

Madiba that man must have been very ill, seeing as his hands didn't stop shaking while he ate.-

Absolutely no! the reason for his trembling is another.

Then I told him:

That man was the warden of the prison where I stayed. After he tortured me, I screamed and cried asking for some water and he came humiliated me, laughed at me and instead of giving me water, he urinated in my head.

He is not sick, he was afraid that I, now president of South Africa, would send him to prison and do to him what he did to me. But I'm not like that, this conduct is not part of my character, nor of my ethics.

′′Minds that seek revenge destroy states, while those that seek reconciliation build nations. Walking out the door to my freedom, I knew that if I didn't leave all the anger, hatred and resentment behind me, I would still be a prisoner."

- Nelson Mandela.
Mfute Lissu hapo, moderator rekebisha huu uzi huyo mwanasheria mwenye mikogo haingii kwenye hilo kundi kwa namna yoyote ile.
 
Binadamu siku zote hawezi kuwa sahihi muda wote.kuwa kosoa ni kawaida kabisa maana na wao walikosea mengi tu.

Tofautisha kuzodoa na kukosoa. Bila kusahau hata Lissu mtajwa kama model amekuwa na ukosoaji wake dhidi ya Nyerere mtajwa mwingine kama model.

Lakini ukweli mchungu:

Hao ndugu ni majembe na wanastahili maua yao!

Fikiria Mandela angekuwa jiwe. Looh! Siyo kuwa kungechimbika hapo?

Si kuwa labda kulimia kwa meno kungehusika siyo?

Si kuwa wengi wetu ni jiwe style?

Kwamba hata kwa uzi huu tu, kuna waliofura kwa hasira na husuda, si shughuli hapo?

imhotep na wale wa damu wenzangu au nasema uongo?
 
mwamba huyu hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240619_073717_Facebook.jpg
    Screenshot_20240619_073717_Facebook.jpg
    299.1 KB · Views: 8
Sahihi kabisa

Ajabu na kweli wapo wenye kufura kwa hasira kwa kufunikwa na wengine.

Kwamba kina Obama (nobel laureate) walimtambua na kumheshimu kama jembe? Ila kwetu kuta kinyangarika kwa mfuga mbwa huko, eti kinaona kipo vizuri kuliko Mandela?

Looh! Kwa hakika haupo wenda wazimu zaidi ya huo.

Kulikuwa na uzi humu ukiyasema haya haya kistaarabu:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

Tufike mahali tuliite koleo Kwa jina lake!

Kwamba tatizo ujinga siyo, ila unajua? Basi abda wewe ni kiboko ya wachawi?
 
Wanajitoa ufahamu, wengine walifaidi elimu bure ila nao kazi kuwasema, tumwache hata Lisu maana naye bado hajafikia kulinganishwa nao

Zingatia Lissu nimesema ni kwa level ya kwetu.

Fikiria nobel laureate kuzodolewa tokea kwa mfuga mbwa ndani ndani huko, macho makavu huku uso umepauka!

Tuendelee kweli kuwakenulia mburula waliopitiliza hawa hadi lini?
 
Yamekuwa yakisikika maneno:

"JF ni Raha sana."

Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.

Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.

Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda wazimu.

Kwa level za dunia kujimwambafai dhidi ya watunukiwa nobeli (nobel laureates) yaani aina ya kina Mandela, Obama, Tutu na wa namna hiyo kwa nini isiwe zaidi burudani kwa wenye kujua maana?

Wanasema waswahili:

"Aibu mbona naona miye?"

Huyu ndiye Mandela, kwa ufupi mno katika hulka yake kama binadamu:

"After I became president, I asked my escort to go to a restaurant for lunch. We sat down and each of us asked what we wanted.

On the front table, there was a man waiting to be served. When he was served, I said to one of my soldiers: go and ask that gentleman to join us. The soldier went and conveyed my invitation to him. The man got up, took his plate and sat down right next to me.

While he ate his hands trembled constantly and he did not lift his head from his food. When we finished, he said goodbye without looking at me, I shook his hand and he left.

The soldier told me:

Madiba that man must have been very ill, seeing as his hands didn't stop shaking while he ate.-

Absolutely no! the reason for his trembling is another.

Then I told him:

That man was the warden of the prison where I stayed. After he tortured me, I screamed and cried asking for some water and he came humiliated me, laughed at me and instead of giving me water, he urinated in my head.

He is not sick, he was afraid that I, now president of South Africa, would send him to prison and do to him what he did to me. But I'm not like that, this conduct is not part of my character, nor of my ethics.

′′Minds that seek revenge destroy states, while those that seek reconciliation build nations. Walking out the door to my freedom, I knew that if I didn't leave all the anger, hatred and resentment behind me, I would still be a prisoner."

- Nelson Mandela.
Historia ya SOUTH AFRICA IS COMPLICATED.
Sisi ambao tumeisoma historia yake tunajua..

Ukimsoma NELSON MANDELA kwenye kitabu chake Cha ""THE LONG WALK TO FREEDOM"

Nelson Mandela Ali ingia gerezani akiwa mtukutu na akiamini katika FORCE/MAGUVU na vurugu. Katika kudai HAKI

Ila nelson Mandela baada ya kukaa Sana gerezani alibadilika mnoo na akawa mtu mstaarabu Sanaa Mandela alikua mtu na nusu..

Kasome kitabu chake cha THE LONG WALK TO FREEDOM
 
Habari ni nzuri, lakini najiuliza, Lissu anaingiaje kwa hao VIGOGO? 😳
 
Hakuna niliposema Mandela hakuwa binadamu. Ila namwongelea Mandela, nobel laureate mwenye nafasi yake hiyo duniani.

Zingatia hakupewa Mandela nobeli kwa mabaya yake bali kwa mazuri yake ambayo haipo shaka mimi na wewe hatuna.

Utakatifu?

Mandela si mtakatifu na sijui ule mchakato pendwa wa kuwafanya jiwe au Nyerere kuwa watakatifu ulifikia wapi?

Sina hakika kama kuna yeyote katika wanaoitwa watakatifu pia ni nobel laureate labda uniambie wewe.

Hivi kweli ni vigumu hivyo kutofautisha baina ya utukufu na u nobel laureate?

Au tuseme jela ndiyo ilimtengeneza Mandela kuwa bora? Kwamba tuelekee jela kuwa bora?

Kwamba Africa Kusini walimsuburi mkorofi miaka 27 Ili awe rais wao?

Rejea andiko lako kuona kujichanganya kwako ndugu.
 
Iko aya kamili kuonyesha Lissu anavyoingia.

Zingatia hata Nyerere hayupo kwenye level ya nobel laureates.

Au labda ungependa kwa level ya kwetu ningewaweka kina nani?

Kulikoni makasiriko na Lissu ndugu? Kwani labda umemzidi nini ili tuongeze jina lako au uwe mbadala?

Au hii yako ni ule wivu wetu kazini tu?
 
Kasome tena nilicho kiandika ikiwezeka pembeni uwe na glass ya maji 😊
 
Iko aya kamili kuonyesha Lissu anavyoingia.

Zingatia hata Nyerere hayupo kwenye level ya nobel laureates.

Au labda ungependa kwa level ya kwetu ningewaweka kina nani?

Kulikoni makasiriko na Lissu ndugu? Kwani labda umemzidi nini ili tuongeze jina lako au uwe mbadala?

Au hii yako ni ule wivu wetu kazini tu?
Hapana ndugu wala sina makasiriko na Lissu namheshimu sana, ila kwenye hiyo story umemchanganya na kundi la watu wa level nyingine.
 
Back
Top Bottom