Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uasisi wao unawatofautisha na wanasiasa wa mwendo kasi.Hata Nyerere na Mandela waliishi kwa huruma ya watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uasisi wao unawatofautisha na wanasiasa wa mwendo kasi.Hata Nyerere na Mandela waliishi kwa huruma ya watu.
Uasisi wao unawatofautisha na wanasiasa wa mwendo kasi.
Hao ni waasisi hawalinganishwi na yoyote wa miaka ya sasa.Kwa hiyo wenye mwendo pole ni kina nani ndugu ambao ungependa labda tuwaunganishe nao katika wenye kukubalika?
Bahati mbaya Lissu alimvunjia heshima Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge, hilo ni doa kwake kisiasa.
Habari ni nzuri, lakini najiuliza, Lissu anaingiaje kwa hao VIGOGO? 😳
Hao ni waasisi hawalinganishwi na yoyote wa miaka ya sasa.
Bahati mbaya Lissu alimvunjia heshima Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge, hilo ni doa kwake kisiasa.
..Kutokulipiza kisasi ilikuwa SHARTI namba moja la Mandela kushika hatamu za Afrika Kusini.
..zaidi, Mandela hakuwa na nyenzo za kulipiza kisasi. Vyombo vya usalama bado viliendelea kuwa chini ya makaburu.
..Hata kutuma majeshi nje ya Afrika Kusini ilikuwa ni jambo gumu kwa Mandela.
..jambo lingine ni kwamba, KATIBA ya Afrika Kusini haimruhusu Rais wao kutumia vyombo vya usalama kwa uhuru kama ilivyo kwa Maraisi wengine wa Kiafrika.
..Mandela hakuwa na mamlaka na udhibiti wa vyombo vya dola kama Paul Kagame, Yoweri Museveni, na John Magufuli, halafu akajishusha, na kuacha kuyatumia vibaya.
Cc MALCOM LUMUMBA
Wapi unapodhani palipo uma? Ukweli mchungu huu unaweza ugonjwa ndugu?
Kuna ugonjwa unaitwa psychosis una dalili sawia kama hizi.
Tafadhali: "don't take it personal."
Kwamba unaweza ghafla kuanza kuota ndoto za mchana kuwa hivi sasa ni usiku na hivyo kujiaminisha na kurejea kuvuta blanket?!
Ungefikiria kuwahi kumwona daktari.
Au kukuonyesha unaonekana kuwa na makasiriko na Lissu nitakuwa nimepiga penyewe sawia kabisa?
Kwamba kama kina Nyerere na wengine nikikuona wewe una husuda nao, kumbe inihusu nini mimi?
Wapi umeitwa zezeta au hata wapi nimejihesabia haki? Au ndiyo sasa uko kwenye Ile ya kuwa lisemwalo lipo na kama halipo laja?
Kwamba umesema umeitwa zezeta enhe, endelea kutuhabarisha majina yako mengine ikikupendeza.
Kwamba nyani yupi umwongeleaye wewe kabla ya kujiangalia nyani wewe kama waliona k*ndu lako?
Tabia za kike mbona unazo wewe? Unaonekana kuupenda sana udada ndugu. Kulikoni uoneshe kuuhusudu hivyo?
Watu wa aina yako vijiweni huhojiwa u riziki wao. Zingatia miye natoa taarifa tu na mjumbe hauwawi.
Kwamba mada ile wapi ikakupe makasiriko yote haya? Wala hujishangai? Ni mada kweli au Kuna usimpenda pale na sasa unadhani utamchuuza nani?
Kwamba Lissu unamheshimu mdomoni siyo. Hata chura kiziwi, makonda na wengi wamchukiao mchana hujinasibu kumheshimu mno. Kwani na usiku au faraghani ni hivyo hivyo?
Kwamba kumbe umekereka wapi na huu uzi kumshawishi nani kuwa si Lissu? Kwamba ni Nyerere au Mandela?
Fumbo fumbieni wajinga ila ipo kwenye record:
"Ajabu na kweli kuna makamanda wenye makasiriko kuliko hata ma CCM wakisikia Lissu kupewa maua yake."
Kwani katika makamanda hao yupo mwenye kujitokeza hadharani kuuikiri ukweli huo ambao uko wazi bin bayana?
Kwa hakika post #2 iliwatambua mno makamanda wote walio wenye vibiongo vya husuda.
Vipi kwani na wewe ni mmoja wao?
Kwamba umesoma nao, wapi nani kakubishia? Ila hatukujui na above all, so what?
Kusoma nao? Wengine wamewafunza lakini hawafuzu kuwa hapa.
Weka yako hapa tumekwambia ikikupendeza ili kama vipi labda wewe ni jembe zaidi tukuongeze kwenye list ambayo kuzodolewa ki mfuga mbwa style ni kujidhalilisha.
Taabu iko wapi?
Kwamba hujafanya hivyo hatukujui na tulipo wewe kama ilivyo kwa Deo Kisandu hamwezi kukwea waliko waungwana hao.
Kulikoni kuwachukia wenye kukupiku au kutu impress ndugu?
Ungekuwa na busara kidogo ungefahamu u big brother wa kujipa kizezeta zezeta hauna nafasi JF.
Ni muhimu mno ukielewe kiswahili.
Hayo tena ni ya kwako na zaidi sana pambana na hali yako ndugu.
Ukimaliza kupambana vilivyo na ikikupendeza tuwekee sasa hiyo CV tuone ilichonacho.
Ikituvutia hatuja wahi kuacha kumpa kila mja maua yake hata kama waliojidhania majogoo wangenuna au kukasirika hadi wakapasuka misamba!
Usitake ncheke. Kina Lissu na timu ile hawapo hapo kwa kujipigia wao upatu.
Fanya mavitu ndugu. Hayo hayajifichi mbona tutayaona tu? Huko ndiko wengine huita magomani.
Tuonane kwenye magoma ndugu. Chuki za nini?
Mimi ni nani? Wapi nimeonyesha au kujishasha mimi ni nani?
Nikurejee ulikojishasha? Kwa hakika ni kwingi mno na Kwa bahati mbaya kupo tupu.
Kwamba wewe umesoma? Kwamba wewe ni big brother? Kwamba wewe, wewe, wewe nk, nk?
Looh!
Huu u wewe si ukae nao? Kwani nani umeona anautaka ndugu?
Beberu ana neno lake moja mahsusi:
"Disgusting!"
Waswahili wakisema chema chajiuza!
yaaani lissu unamlinganisja na hao wazee wa busara? huyo labda ulinganishe na mtu yoyote tu wa barabarani anayeokota makopoYamekuwa yakisikika maneno:
"JF ni Raha sana."
Kwa hakika ni kwa maana yake kamili.
Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake imewavulia kofia.
Wandugu kwa level za kwetu kujimwambafai dhidi ya kina Lissu au Nyerere ni wenda wazimu.
Kwa level za dunia kujimwambafai dhidi ya watunukiwa nobeli (nobel laureates) yaani aina ya kina Mandela, Obama, Tutu na wa namna hiyo kwa nini isiwe zaidi burudani kwa wenye kujua maana?
Wanasema waswahili:
"Aibu mbona naona miye?"
Huyu ndiye Mandela, kwa ufupi mno katika hulka yake kama binadamu:
"After I became president, I asked my escort to go to a restaurant for lunch. We sat down and each of us asked what we wanted.
On the front table, there was a man waiting to be served. When he was served, I said to one of my soldiers: go and ask that gentleman to join us. The soldier went and conveyed my invitation to him. The man got up, took his plate and sat down right next to me.
While he ate his hands trembled constantly and he did not lift his head from his food. When we finished, he said goodbye without looking at me, I shook his hand and he left.
The soldier told me:
Madiba that man must have been very ill, seeing as his hands didn't stop shaking while he ate.-
Absolutely no! the reason for his trembling is another.
Then I told him:
That man was the warden of the prison where I stayed. After he tortured me, I screamed and cried asking for some water and he came humiliated me, laughed at me and instead of giving me water, he urinated in my head.
He is not sick, he was afraid that I, now president of South Africa, would send him to prison and do to him what he did to me. But I'm not like that, this conduct is not part of my character, nor of my ethics.
′′Minds that seek revenge destroy states, while those that seek reconciliation build nations. Walking out the door to my freedom, I knew that if I didn't leave all the anger, hatred and resentment behind me, I would still be a prisoner."
- Nelson Mandela.
yaaani lissu unamlinganisja na hao wazee wa busara? huyo labda ulinganishe na mtu yoyote tu wa barabarani anayeokota makopo
lissu hawezi fika level hizo labda kwa makasiriko yake wapo wa level zake siyo hao afananishwe klabda n kina bob malleyView attachment 3198532
Earthmover, Joka-Kuu, imhotep, binti kiziwi kutana na timu wabagaza Lissu.
Leo ID zao wamezikimbia.
Bure kabisa!
lissu hawezi fika level hizo labda kwa makasiriko yake wapo wa level zake siyo hao afananishwe klabda n kina bob malley
Lissu huyu mropokaji awe kwenye level moja na kina Mandela? Mleta uzi JIHESHIMU.