kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Wapalestina je?Mwulize hata Msigwa kama ana lolote dhidi ya Lissu.
Hapo Lissu anawakilisha walio hai.
Lissu ni jembe. Husuda za nini?
Long live TAL!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapalestina je?Mwulize hata Msigwa kama ana lolote dhidi ya Lissu.
Hapo Lissu anawakilisha walio hai.
Lissu ni jembe. Husuda za nini?
Long live TAL!
Mandela na Nyerere were wise
Not huyu wa mitusi
Hivi Mandela alifanyaga nini cha maana kumzidi nyerere?
Mwalimu kafanya makubwa sana nchi hii na Afrika lakini sera yake ya ujamaa imesababisha tuwepo hapa tulipo kwa kiasi kikubwa sana vinginevyo tungekuwa mbali kimaendeleo.
Hivi Mandela alifanyaga nini cha maana kumzidi nyerere?
..Pia Katiba yetu iliandikwa ikimlenga yeye kuwa Raisi, na haikulenga kutuwekea msingi mzuri wa utawala bora na demokrasia.
Na ndio hii inawapa jeuri watawala kujiona miungu watu..Pia Katiba yetu iliandikwa ikimlenga yeye kuwa Raisi, na haikulenga kutuwekea msingi mzuri wa utawala bora na demokrasia.
Wapalestina je?
Usichanganye madesa aisee
Wale wazee wana heshima yao… sio huyu wa mitusitusi
Sijawahi kuwa ccm wala ukawaKwani wewe ni kamanda? Inafahamika wapo mnaomchukia mno kuliko hata mi CCM.
Si mseme tu, nyota yake inawatia viwewe naye si mlipa vyawa?
Sijawahi kuwa ccm wana ukawa
Naongea ukwei
Don’t include Lissu kwenye floor moja na Africa great men
Obama yuko kwenye heading ya hii thread?Uko nje ya mada ndugu.
Wapi hata Nyerere yuko floor Moja na Obama, Mandela au Tutu?
Kulikoni kuvumbua ya kwako yasiyokuwa kwenye mada?
Kama lengo lako ni kulinganisha watu mada hii si mahali pake.
Si uweke CV yako tuone nawe kama si wa kuzodolewa kutokea Kwa mfuga mbwa ndani ndani vijiweni huko?
Ninakazia:
"Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!"
Obama yuko kwenye heading ya hii thread?
Bwege kweli wewe
Ni high level ya ujinga kumweka lisu kwenye level moja na akina Nyerere, Mandela, Nkrumah, nk. Watanzania tuacheni ujinga.
CrapKwamba wewe hujamwona mle?
Sasa kumbe bwege ndembe ndembe utakuwa si wewe?
Nendeni shule mkasome.
Si kila kitu lazima mtafuniwe!
Siasa za baada ya uhuru zina mambo mengi kuliko zile za kabla. Baada ya kuanza kujitawala hao hao wakoloni wa zamani walikuja na mbinu za kutugawa sisi ndani kwa ndani, divide and rule ya kiwango cha juu na ya kisasa...Mwalimu Nyerere hakuteswa na Waingereza kama ambavyo Tundu Lissu, na wapinzani wengine wameteswa na serikali za Ccm, na vyombo vyake.
..Tunamheshimu Mwalimu Nyerere, lakini ukweli lazima usemwe kwamba Wakoloni ambao aliwapinga, walikuwa na utu, kuliko Ccm ambayo ametuachia, na tunapambana nayo.
Mandela hakuwa na muda wa kupigana vita mwaka 1964 alishafungwa jela. Unyenyekevu haumaanishi ukondoo kwamba uendelee tu kupoteza haki zako...Mandela hakuwa mnyenyekevu.
..alianzisha mapambano ya silaha na umwagaji damu dhidi ya Makaburu.
..vijana wa Ccm mnasoma wapi historia?
..Ccm si mnadai ni chama cha ukombozi kusini mwa Afrika, sasa kwanini hamjui historia ya ukombozi?