Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!

Kwa hiyo wenye mwendo pole ni kina nani ndugu ambao ungependa labda tuwaunganishe nao katika wenye kukubalika?
Hao ni waasisi hawalinganishwi na yoyote wa miaka ya sasa.

Bahati mbaya Lissu alimvunjia heshima Mwalimu Nyerere ndani ya ukumbi wa bunge, hilo ni doa kwake kisiasa.
 

Salamaleko ma Ustaadhi

malcolm LUMUMBA, Drlfter
 



Earthmover, Joka-Kuu, imhotep, binti kiziwi kutana na timu wabagaza Lissu.


Leo ID zao wamezikimbia.


Bure kabisa!
 
yaaani lissu unamlinganisja na hao wazee wa busara? huyo labda ulinganishe na mtu yoyote tu wa barabarani anayeokota makopo
 
yaaani lissu unamlinganisja na hao wazee wa busara? huyo labda ulinganishe na mtu yoyote tu wa barabarani anayeokota makopo

Labda ungependa kumlinganisha huyu nduguyo hapo, au?



Bila kusahau Uzi huu hata uligundua wa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…