Hujasema popote kuhusu faida za daraja husika likikamilika. Kwamba utaenda kuuza mbaazi ungujaDar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Daraja la Kigogo Busisi pekee lenye urefu wa kilometer 3.2 tu kimetigharimu billioni 700 je km 85 tena juu ya bahari ni trilioni ngapi?! Ni zaidi ya trillion 10! Hii ni gharama ya kutosha kujenga SGR kutoka Dar hadi Arusha au Kigoma! Tuachane na kujenga madaraja kama mapambo, tuache kabisa hailipi!
Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes senseDar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat kubwa na nyingi ili gharama zipungue?
Daraja la Kigogo Busisi pekee lenye urefu wa kilometer 3.2 tu kimetigharimu billioni 700 je km 85 tena juu ya bahari ni trilioni ngapi?! Ni zaidi ya trillion 10! Hii ni gharama ya kutosha kujenga SGR kutoka Dar hadi Arusha au Kigoma! Tuachane na kujenga madaraja kama mapambo, tuache kabisa hailipi!
Very good!Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
Wazo zuri sana, Tanzania na DRC zitaokoa pesa nyingi anazochukua Zambia kwenye Road toll.Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
Naamini haya ni mawazo ya mtu ambaye hajapevuka!Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat kubwa na nyingi ili gharama zipungue?
Daraja la Kigogo Busisi pekee lenye urefu wa kilometer 3.2 tu kimetigharimu billioni 700 je km 85 tena juu ya bahari ni trilioni ngapi?! Ni zaidi ya trillion 10! Hii ni gharama ya kutosha kujenga SGR kutoka Dar hadi Arusha au Kigoma! Tuachane na kujenga madaraja kama mapambo, tuache kabisa hailipi!
Hizi nguvu za kutaka kujenga daraja kwenda Zanzibar zihamishiwe kujenga daraja toka Kigoma kwenda DRCDar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat kubwa na nyingi ili gharama zipungue?
Daraja la Kigogo Busisi pekee lenye urefu wa kilometer 3.2 tu kimetigharimu billioni 700 je km 85 tena juu ya bahari ni trilioni ngapi?! Ni zaidi ya trillion 10! Hii ni gharama ya kutosha kujenga SGR kutoka Dar hadi Arusha au Kigoma! Tuachane na kujenga madaraja kama mapambo, tuache kabisa hailipi!
Kama kweli hiyo fedha ipo napendekeza tujenge daraja kukatisha lake Tanganyika kwenda DRC mdau wetu mkubwa wa bandali yetuDar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!