Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Umesoma comment yangu na kunielewa kweli wewe?Daraja la trillion 10 kuunganisha waunguja million 1 na watanzania 60m?
Unajua trillion 10 tungefanya nini nayo katika nchi ambayo bado watoto wetu wanakaa chini shuleni, hakuna huduma mzuri za afya, watu hawana uhakika na chakula, hakuna maji safi, umeme, etc?!
Kwanini watanzania mnapenda kuchulia mambo yote poa tu?
Mimi nimesema ili kufanya development project yoyote several things must be taken into consideration including;
✓ Hali ya uchumi/fedha ya nchi..
✓ Vipaumbele (priorities) kulingana na rasrimali fedha iliyopo..
Natumaini utakuwa umeelewa maana kiuhalisia mtazamo wangu na wako hautofautiani lakini shida yako ninayoina mimi iko kwenye kukosa umakini wa kusoma na kuelewa mantiki ya hoja za wachangiaji wa hoja yako uliyoipandisha jukwaani..
Na pia u mwoga wa criticism. Hupendi kuona maoni yaliyo kinyume. Unataka uungwe mkono tu Kwa 100%...
Hilo halipo ktk mijadala yoyote!!