Daraja haliwezi kuwa na hasara tu bila faida!Wewe ndo hujapevuka kiakili. Mleta mada kazungumzia hasara,ina maana kwake daraja halitakuwa na faida.
Wewe ndiyo hujapevuka kabisaa bora ya mleta uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daraja haliwezi kuwa na hasara tu bila faida!Wewe ndo hujapevuka kiakili. Mleta mada kazungumzia hasara,ina maana kwake daraja halitakuwa na faida.
Angalau hapo tutatengeza ajira nyingi na tutaingiza FOREX. Maana Mizigo yote ya kutoka Dar Port kwenda Congo itapita hapo, na Mizigo ya Kutoka Congo kwenda Dar Port nayo itapita hapo....Hizo ndio project za kuongelea.Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
Wewe za kwako ziko wapi?We akili huna
Amezungumzia hasara upande wa gharama. Faida zitakuwepo pia....wapemba kusafirisha Nazi kwa baiskeli had darDaraja haliwezi kuwa na hasara tu bila faida!
Wewe ndiyo hujapevuka kabisaa bora ya mleta uzi.
Wewe za kwako ziko wapi?
Au ndo hizi za kusema tu "we akili huna!!?"
Kisha muingie gharama kwaajili ya wao kuvuka tu?
Naona tumeamua kufuga MCHWA na KUPE.
Uzuri maneno yako sio msaafu kwenda hukoDar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat kubwa na nyingi ili gharama zipungue?
Daraja la Kigogo Busisi pekee lenye urefu wa kilometer 3.2 tu kimetigharimu billioni 700 je km 85 tena juu ya bahari ni trilioni ngapi?! Ni zaidi ya trillion 10! Hii ni gharama ya kutosha kujenga SGR kutoka Dar hadi Arusha au Kigoma! Tuachane na kujenga madaraja kama mapambo, tuache kabisa hailipi!
Nani akubali kujenga wakati ndo wanaingiaga ndani ya maji deep kuchimba uchawi wao wapate vyeoNi Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
We wa bara unaenda kufanya nini cha maana kule?Kumbe likijengwa na kukamilika sisi wa Bara hatutaruhusiwa kuvuka, watavuka wao tu.
Kama ndio hivyo hata mimi siungi mkono
Tunauzaga korosho, ice cream za ukwaju, tunauza ma apple, mobile kiosks, mama ntilie. Kuna wenzangu wanauza baa, wengine papuchi, kuna wafanyakazi wengi wa mahoteli. Kwenye sekta ya ujenzi, wengine wanasafirisha furniture kutoka Tanga na kadhalika na kadhalika siwezi kutaja vyote.We wa bara unaenda kufanya nini cha maana kule?
je unajua kwamba Lake Tanganyika ni la pili duniani kwa kuwa na kina kirefu kwenda chini?Ni Mpango wa hovyo na WA uhuni tuu.Kama Kuna ulazima.bora kujenga Daraja kukatisha Lake Tanganyika Ili kuunganisha Tanzania na DRC it makes sense
Kwani nani alikwambia nguzo za daraja Huwa zinakita chini ya bahari?je unajua kwamba Lake Tanganyika ni la pili duniani kwa kuwa na kina kirefu kwenda chini?
siyo rahisi kujenga hapo kama unavyodhania