Kujenga daraja kuunganisha Dar es Salaam na Unguja ni upotevu wa fedha za maskini. Tuachane na mpango huu!

Umesoma comment yangu na kunielewa kweli wewe?

Mimi nimesema ili kufanya development project yoyote several things must be taken into consideration including;

✓ Hali ya uchumi/fedha ya nchi..

✓ Vipaumbele (priorities) kulingana na rasrimali fedha iliyopo..

Natumaini utakuwa umeelewa maana kiuhalisia mtazamo wangu na wako hautofautiani lakini shida yako ninayoina mimi iko kwenye kukosa umakini wa kusoma na kuelewa mantiki ya hoja za wachangiaji wa hoja yako uliyoipandisha jukwaani..

Na pia u mwoga wa criticism. Hupendi kuona maoni yaliyo kinyume. Unataka uungwe mkono tu Kwa 100%...

Hilo halipo ktk mijadala yoyote!!
 
Mwacheni Mama aache legacy yake itakayo kumbukwa for generations Samia Bridge Zenji ina potentiality za world class top beach tourism destination
 
Mwacheni Mama aache legacy yake itakayo kumbukwa for generations Samia Bridge Zenji ina potentiality za world class top beach tourism destination
Yes tutatoka na gari from dar to zenji kwenda kula maisha na kurudi panapo majasliwa..amen
 
Kuna mpumbavu anayewaza kujenga hilo daraja?!
 
Wakati Fulani niliwahi UK's kia watanzania wanao ishi ughaibuni walikuja na mpango wa kujenga DARAJA LA kukunja ambalo garama ni nafuu kuliko LA kudumu uliishia wapo ile mpango?
 
Mwacheni Mama aache legacy yake itakayo kumbukwa for generations Samia Bridge Zenji ina potentiality za world class top beach tourism destination
Tusipende kugeuzwa kama chapati.
 
Lijengwe tu Kwa kweli.

Usafiri wa majini kwa wengine ni mtihani.
 
Acha ushamba
 
Sioni shida yoyote kama ni private sector ndio itajenga. Wataweka tu road toll kama Kigamboni na anayetaka kupita analipia.
 
Cjui tu tupagawa na nini?
 
Wazo zuri Sana
Samia bridge
Samia katiba
Samia tume huru ya uchaguzi
Only Legacy live on . After someone departure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…