Nyumba yako umeikatia Bima .?..Basi tushuke kidogo..Ina Title Deed?
Kama la.. basi jua unajifariji
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Mkopo huo wa kulipa maisha yote ni billion ngapi kwani?Kwa hiyo suluhisho ni kukopa na kwenda kujenga ili uishi ukilipa mkopo maisha yako yote??
Anaweza akakopa pia na kuanzisha biashara na kisha biashara ikafa na kupoteza pesa zote alizokopa huku akiendelea kulipa huo mkopo na akiteseka kwa kuishi kwa nusu mshahara. Hata wewe ulikopa 12m ukaziweka kwenye biashara na zikapotea zote huku ukiendelea kuishi kwa nusu mshahara.Miaka kadhaa mingap? Unajua mwalimu wa shule ya msingi mwenye take home ya 340k akichukua hyo mil 10 kwa makato ya 200k kila mwezi anabaki na 140k kwa miaka 7..
Huyo mtumishi akiwa na familia inayo mtegemea pia ana ndugu wanamtegemea..ataishije kwa kipindi chote hicho na hana posho wala marupurupu yoyote.
Na mbaya zaid nyumba haitaisha kwa pesa hyo..ataishi kwa kuacha kadi mitaani na kuwa omba omba..
Hyo ndo hali halisi.
Kujenga ni jambo la msingi sana ila mtu ajenge kwa mujibu wa uchumi wake unavyomruhusu.Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumili nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga.
Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine chochote cha kipato kwa kuelekeza pesa yao yote wanayoipata katika ujenzi wa nyumba badala ya uwekezaji unaoleta fedha ili tu waishi katika nyumba zao wenyewe.
Katika muktadha wa utaalamu wa kifedha ni sahihi hasa kwa vijana kuelekeza nguvu na pesa zote katika ujenzi badala ya kuwekeza pesa katika biashara ambazo zitazalisha pesa zaidi na baadaye ndipo suala la ujenzi wa nyumba lifikiriwe baada ya kuwa na uhakika wa mtiririko mzuri wa kipato cha uhakika?
Nilifuga mbwa nyumba ya kupanga ,niliishia kulalamikiwa na wapangaji wenzangu kuwa analeta viroboto na nikaambiwa na mwenye nyumba nitoe mbwa wangu au nihame ...niliamua kumpatia jamaangu akamfuge morogoro hukoTusidanganyane bwana hakuna raha kama kukaa kwako kuondokana na makodi na kero za mwenye nyumba! unakuta unapanga nyumba huruhusiwi chochote mfano hata kufuga kuku wala mbwa zaidi ya kupanda maua tu na unatoa kodi ndefu wakati ukiishi kwako una uhuru na husumbuliwi kwa kodi ya mwezi wala mwaka. Kodi yoyote sikuzote inaumiza
Human BASIC NEEDS maisha ni nyumba mzee hata iwe yamabatiHapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumili nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga.
Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine chochote cha kipato kwa kuelekeza pesa yao yote wanayoipata katika ujenzi wa nyumba badala ya uwekezaji unaoleta fedha ili tu waishi katika nyumba zao wenyewe.
Katika muktadha wa utaalamu wa kifedha ni sahihi hasa kwa vijana kuelekeza nguvu na pesa zote katika ujenzi badala ya kuwekeza pesa katika biashara ambazo zitazalisha pesa zaidi na baadaye ndipo suala la ujenzi wa nyumba lifikiriwe baada ya kuwa na uhakika wa mtiririko mzuri wa kipato cha uhakika?
utakua kituko mbele ya jamii mwisho wa siku umekufa watu ndo wanajua kutamba kote mjini kumbe huna hata kibanda cha kulalaBro tukutane ukiwa na 50 years ukiwa na hela nyingi alafu huna nyumba
halfu ukisha izalisha uipeleke wapi wee jamaa mpuuzi sanaHata nikifika 50 sina hela siwezi kuogopa nianze kujibana kisa nijenge. Tofauti yangu na wewe ni moja, wewe kila senti ukipata unawaza ununue tofali ujenge kozi kadhaa mimi nawaza hela hio nitaizalisha vipi zaidi na zaidi.
huyo anakaa kwa shemeji yakeSasa hivi unaishi kwenye nyumba ya nani?