Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Ha ha 12 bedroom hapana aisee... 3 bedroom, 3 1/2 bathrooms, master bedroom windows only glass full scope next to the swimming pool inanitosha yani siku nikiamua nnaamka nafungua dirisha narukia kwenye swimming pool
 
Inaweza kuwa vyumba 10 je ni nyumba kweli? Isije kuwa vyumba vimepangana km kota za wachina bwashee halafu unapiga kelele hp una nyumba ya vyumba kumi!
 
Mimi nimejenga vinne, lakini kuna nyumba ya wageni nje. Vitatu viko juu kimoja ensuite kiko chini. Hiki nitahamia uzeeni nitakaposhindwa kupanda ngazi.
Si unatembelea mikono tu siku ukizeeka?

Shida iko wapi, aku mi nikizeeka nakomaa huko huko ghorofani, ntakuwa najiburuza hivo hivo[emoji16]
 
Hahaa
 
Nakuunga mkono nyumba za hivyo zinageukaga kuwa haunted houses ,watoto wanapokuwa na kwenda kujitegemea kukuacha ukiwa pekee yako au wawili na mkeo au mmeo unaanza kukaribisha vitu vingine kwenye extra rooms zisizo na kazi matokeo unaanza kuogopa hata kivuli chako
 
Inaweza kuwa vyumba 10 je ni nyumba kweli? Isije kuwa vyumba vimepangana km kota za wachina bwashee halafu unapiga kelele hp una nyumba ya vyumba kumi!
sio vikubwa sanaaa,ila ni vikubwa,in fact nyumba yangu ni kubwa plus nimejenga mkoani gharama za ujenzi + kiwanja ni very cheap,kiwanja cha million 15 ukubwa wake uwanja wa mpira kabisa
 
Kwani hio nyumba si waweza pangisha pia ukapata Faida vyumba 12 ukatenga 6 vyakupangisha na 6 zikawa zako binafsi
 
Mimi maisha yangu ni Ubepari. Sipendi Ujamaa. Hivyo nyumba nitajenga mwisho vyumba 3 tena ya Chini.... Tuombe uhai mambo ya unajenga jumba kubwa unakufa wanaobaki wanashindwa hata huduma ya umeme
 
Kama tatizo lako ni choo jenga ghorofa halafu weka choo cha nje mbali kama dakika 60 kutoja kwenye ghorofa.
 
Mkuu chumba cha house girl cha nini. Si alale na watoto wa kike wenzake?
In
Wewe umemwelewa mtoa mada. Nilivyoelewa mimi hawazungumzii matajiri wakubwa kama kina Bakhesa. Anazungumzia kina sisi. Mtu unakuta kipato chake ni kidogo lakini anang'ang'ana kujenga mjumba mkubwaa. Watu wa aina hii wako wengi sana.
We umejenga ya ukubwa gani mkuu
 
Mimi nafikiri kuna tofauti kati ya nyumba kubwa na nyumba nzuri. Inaelekea watu wengi humu wanapenda nyumba kubwa.. yaani yenye vyumba vingi. Mimi napenda nyumba nzuri hata kama ina vyumba vichache. Binafsi sipendi ghorofa.
Hatuongelei face me I face you zile ni kijiji katika nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…