Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Mijumba mikubwaaa unakaa na mume wako tu..... Watoto Wana miji yao. Matokeo yake mapepo na Mashetani yanahamia nyumbani kwenu
Ndugu zako kuhamia kwako ndo unawaita mashetani..!!
Mijumba mikubwaaa unakaa na mume wako tu..... Watoto Wana miji yao. Matokeo yake mapepo na Mashetani yanahamia nyumbani kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vile utakavyo vunjika mgongo uanze kumsumbua mkeo kukuuguza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha 12 bedroom hapana aisee... 3 bedroom, 3 1/2 bathrooms, master bedroom windows only glass full scope next to the swimming pool inanitosha yani siku nikiamua nnaamka nafungua dirisha narukia kwenye swimming pool
Mzee unawatimua kwa nini wakuletee mambo ya ajabu kwenye nyumba yako?Mleta mada acha kupiga chenga...hasara kuu ya nyumba kubwa ndugu yangu ni....WAGENI WATAFANYA KWAO..WATAHAMIA...hakuna asiejua kashkash za kuwa na familia kubwa hapa jijini....
watu wakiona jumba kubwa wanahamia...sasa wahamie watu 5..na wewe na mke na watoto na beki 3..labda watano..mnakua kumi (10)...lazima upaki gari..na bado hawajaanza tabia zao halisi...utahama kwako
mtu ategeuzaje nyumba yako guest?? kuwa kauzu mzeeNyumbani kwetu kulikua na nyumba tatu za vyumba 3 aisee wageni walikua hawakauki harafu wanakuja na familia zao , me mwenyewe nlivyo anza maisha nikapanga nyumba nzima ya vyumba 3 washikaji zangu wakafanya guest house bahati mbaya mimi ni muoga kumchama mtu nikawa naumia ndani kwa ndani, nyumba kubwa zina majaribu sana hasa kwa maisha ya mjini atatoka mtu ushagoo huko anadai amekuja kutafta maisha akikuta chumba kipo hatoki mpk ujitoe akili
Ukifa maiti yako itaoshewa pangoni au guest h'se?Kujenga ni uoga wa maisha. Alisikika mpangaji sugu akisema.....
Kila weekend saiti'nini?Umeongea fact,utakuta mtu kajenga nyumba kubwa kuimalizia kasheshe kila weekend utamsikia naenda saiti bora piga 3 rooms na sebule na stoo
hHmna mzee, nilimuelekeza tu mchora ramani kuwa fanya ufanyavyo nyumba iwe kubwa na choo kiwe mbalii.Kama tatizo lako ni choo jenga ghorofa halafu weka choo cha nje mbali kama takika 60 kutoja kwenye ghorofa.
Kusoma na kuelewa si jambo rahisi.Ukifa maiti yako itaoshewa pangoni au guest h'se?
Kuna tofauti kati ya nyumba kubwa na nyumba yenye vyumba vingi.
Huku kwetu Kwamtogole face me I face you vyumba sita kila chumba kina familiaSasa nyumba kubwa itakosaje vyumba vingi? Tatizo tukisikia chumba tunajua ni chakulala. Gym ni chumba, library ni chumba,chumba cha cinema,utility room. Hapo tayari vyumba vinne. Ongezea vyumba vya kulala vitatu tu. Sitting room,dining room,kitchen. Bado Choo cha jumuia.
Sasa hii ni 3-bedroom house ila ina vyumba vingine karibu 10! Hizi ndio nyumba za wenye hela.
Akina sisi ni 3-bedroom yenye jiko,sitting room na toilet. Ndio nyumba ya wastani. Ila ukichukulia juu juu kila mmoja atasemekana ana 3-bedroom house.
Nyumba hizi mara nyingi huishia kuuzwa watoto wanapoanza kugombania urithiInategemea na familia husika maana wengine hujenga hivyo sababu hawana mpango wa kuwaachia watoto wakaishi kivyao...mitoto inakua & kuzeeka mumo kwa mumo!!
Umekanganya mwenyewe kwenye maelezo...ingekuwa kumbe tukisema hivyo ndio tunavyoita vyumba basi nyumba zote yungesema zinavyumba vingi.Sasa nyumba kubwa itakosaje vyumba vingi? Tatizo tukisikia chumba tunajua ni chakulala. Gym ni chumba, library ni chumba,chumba cha cinema,utility room. Hapo tayari vyumba vinne. Ongezea vyumba vya kulala vitatu tu. Sitting room,dining room,kitchen. Bado Choo cha jumuia.
Sasa hii ni 3-bedroom house ila ina vyumba vingine karibu 10! Hizi ndio nyumba za wenye hela.
Akina sisi ni 3-bedroom yenye jiko,sitting room na toilet. Ndio nyumba ya wastani. Ila ukichukulia juu juu kila mmoja atasemekana ana 3-bedroom house.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vile utakavyo vunjika mgongo uanze kumsumbua mkeo kukuuguza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo makorokoro mengine sawa, lakini hili la indoor bar! Waalah sijawahi kuliona ama kulisikia popote kabla ya bandiko hili! Kweli Jf ni kokoro.Aliyekwambia nyumba kubwa kama hiyo kila chumba ni cha kulala ni nani, hapo kuna study room, library, theatre, studio, indoor bar, club, etc...ukiwa na hela huwezi waza matumizi wala huwezi ona shida kujenga nyumba kubwa kama hiyo...kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Alamski
Nyumba ya vyumba 12 hiyo ni hotel au?
Mm nyumba yangu ni 2 room 1 master na choo+bafu sina bwebwe mingi
Kibongo bongo kujenga linyumba likubwa unajikuta huwezi kulimalizia unaamua uhamie hivyo hivyo unakuwa kama unaishi jela tu