Ni kweli Ila wengine hujenga ziwe Kama generational houses ndio maana mfano kwa matajiri wa huko kwa wenzetu ni kawaida kuona nyumba inamilikiwa na familia kwa miaka 50/100.Nyumba hizi mara nyingi huishia kuuzwa watoto wanapoanza kugombania urithi
Huko pia wana down grade sikuhizi watoto wakikua nyumba kubwa inauzwa wanannunua nyumba ndogoNi kweli Ila wengine hujenga ziwe Kama generational houses ndio maana mfano kwa matajiri wa huko kwa wenzetu ni kawaida kuona nyumba inamilikiwa na familia kwa miaka 50/100.
Ila hili kwetu ni gumu
Most huwa na multiple houses so haiwasumbui hii sanaHuko pia wana down grade sikuhizi watoto wakikua nyumba kubwa inauzwa wanannunua nyumba ndogo
Doh!since way back natafuta hela dream yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kubwa na nimejenga nyumba yenye vyumba kumi, nyumba ndogo hapana bora nisijenge, unajenga nyumba ya vyumba vitatu mtu akiflash chooni sebleni wanasikia,mimi nyumba yangu kutoka sebleni kwenda chooni ni mwendo wa dakika 10
Huu upuuzi wa kubeba Ndugu wenye uwezo wa kujitegemea unatesa familia nyingi za kiafrika.Mimi bora nijekuitwa Nina roho mbaya ila sitauhitaji.Nyumbani kwetu kulikua na nyumba tatu za vyumba 3 aisee wageni walikua hawakauki harafu wanakuja na familia zao , me mwenyewe nlivyo anza maisha nikapanga nyumba nzima ya vyumba 3 washikaji zangu wakafanya guest house bahati mbaya mimi ni muoga kumchama mtu nikawa naumia ndani kwa ndani, nyumba kubwa zina majaribu sana hasa kwa maisha ya mjini atatoka mtu ushagoo huko anadai amekuja kutafta maisha akikuta chumba kipo hatoki mpk ujitoe akili
Mkuu nadhani alimaanisha chumba kizima kwaajili ya mambo hayo.
Sky nyumba ndogo ni msamiati ujue! Usijisahau, twende na vyote.Huko pia wana down grade sikuhizi watoto wakikua nyumba kubwa inauzwa wanannunua nyumba ndogo
Mkuu sema nimebonyeza sana hadi nimekivunja. Pole. Kuelewa ndiyo kusoma hukohuko.Kusoma na kuelewa si jambo rahisi.
Bottom line ni nyumba kubwa. Nyumba hio hio kuna mtu ataweka living room,library,kitchen etc vitabaki vyumba vya kulala viwili. Kwahio itabadilika kuwa nyumba ndogo kisa ina vyumba viwili vya kulala?Huku kwetu Kwamtogole face me I face you vyumba sita kila chumba kina familia
Kinachobadilika ni matumizi. Structure ?umekariri chumba cha kulala ni square,library au gym haiwezi kuwa square. Kama ushajenga ungenielewa. Kuna stage ya nyumba ukiwa unajenga ukiwa na MTU inabidi umuambie hapa ni jiko,library,bedroom etc kwasababu haviko kama nyinyi mlivyokaririUmekanganya mwenyewe kwenye maelezo...ingekuwa kumbe tukisema hivyo ndio tunavyoita vyumba basi nyumba zote yungesema zinavyumba vingi.
Soma Post za watu vyumba vinavyomaanishwa hapa ni vya kulala sio eti mpaka jiko kumbe chumba haa na kingine Library, Gym, studio vinabuniwa kwenye ramani kabisa na hizo sehemu hazijengwi kwa structure ya chumba cha kulala.
Kwa ajili ya uzazi tu. Wakimaliza huwaoni tena.Hata ndege wanajenga nyumba kuepukana na adha ya jua na mvua.
Uwanja wa mpira ni 5000sqm. Mkuu nyumba yako 9000sqm ni kama viwanja viwili vya mpira(au kimoja juu na chini)?!!Nyumba yangu Ghorofa vyumba 11 square meter 9000 compound yote inaukuta mrefu kuzunguka nyumba, nina wtt watatu wanasoma wote mimi nashinda Jumapili tu Nyumbani. Ukweli Natamani chumba kimoja na sebule.Ushauri usijenge nyumba kubwa haina raha kabisa.
Hizo lazima zifike ila hata zikipungua walau 4....Mungu akujalie ufikishe hizo tano
sio vikubwa sanaaa,ila ni vikubwa,in fact nyumba yangu ni kubwa plus nimejenga mkoani gharama za ujenzi + kiwanja ni very cheap,kiwanja cha million 15 ukubwa wake uwanja wa mpira kabisa