Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

Very wise comment.
Ngoja niwape mfano mmoja hivi ili kukazia point yako.
Miaka 5 nyuma watu walikuwa wananunua viwanja maeneo ya Goba kwa milioni 5 lakini sasa hivi ukihitaji kiwanja maeneo hayo hayo vinauzwa milioni 40 sasa yupi ana advantage hapo aliyenunua miaka 5 nyuma au anatetaka kununua baadae akishafanikiwa kibiashara
 
Akili kubwa ndiyo itaelewa hiki ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…