Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo nakwambiajeee, hujaanza vile vya kiingereza kwenye finishing. Ukikutana na skimming, blandering, plaster, fisherboard, wiring nk, unamwambia fundi hebu slbiri kidogo, umesemaaa?😅
Dharau ni kipaji haijalishi una maendeleo bora kiasi gani bado tu mwenye kipaji cha dharau atakuonesha.Na hapo nakwambiajeee, hujaanza vile vya kiingereza kwenye finishing. Ukikutana na skimming, blandering, plaster, fisherboard, wiring nk, unamwambia fundi hebu slbiri kidogo, umesemaaa?😅
Halafu unakuta mtu anakudharau "kanyumba kenyewe kadogo hakana hata chumba cha wageni"
Msingi tu 10M . Mkoa gani huo utakufa maskini fanya mambo mengine unless uwe na hela ambayo haina kazi
Hii ni maajabu kama kipato ni cha kujitafutaSifanyi ujinga huu
Halafu mtu mwenyewe awe ni Ke.Na hapo nakwambiajeee, hujaanza vile vya kiingereza kwenye finishing. Ukikutana na skimming, blandering, plaster, fisherboard, wiring nk, unamwambia fundi hebu slbiri kidogo, umesemaaa?😅
Halafu unakuta mtu anakudharau "kanyumba kenyewe kadogo hakana hata chumba cha wageni"
Ungesindikiza na kapicha ka msingi kunogesha uzi
Kutoka bajeti ya 9M mpaka 23M makadirio gani hayo. Wote mlikuwa hamjui mnachofanya na fundí maiko wakoSitasahau mimi na fundi wangu tulikaa tukapiga hesabu kila kitu gharama ilikuja m9 na laki4 tu
Maajabu ni kwamba nyumba hadi inamalizwa kuezekwa na hapo bado madirisha vigaena makorokocho kibao hesabu inasoma m23 na ushee nikaachia hapo kuandika na sitakaa niandike kitu kwenye ujenzi. Msimamizi ni mimi mwenyew
Nabado ilikuwa bado kukamilika. mabati,mbao, mawe cement nk viliongezeka na gharama tu kama kusafirisha material nk. kwa kifupi mimi nilikuwa sijui vingi kwenye ujenzi lakini kwenye manunuzi fundi nilikuwa na enda nae kwa jamaangu ambae ana duka kubwa la hardwareKutoka bajeti ya 9M mpaka 23M makadirio gani hayo. Wote mlikuwa hamjui mnachofanya na fundí maiko wako
Gap kubwa sana hilo mli under estimate au mliongeza vipimo vya jengo bila kujua au kulikuwa na mfumuko wa bei za bidhaa tofauti na mlivokadiria.Nabado ilikuwa bado kukamilika. mabati,mbao, mawe cement nk viliongezeka na gharama tu kama kusafirisha material nk. kwa kifupi mimi nilikuwa sijui vingi kwenye ujenzi lakini kwenye manunuzi fundi nilikuwa na enda nae kwa jamaangu ambae ana duka kubwa la hardware