Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

Gap kubwa sana hilo mli under estimate au mliongeza vipimo vya jengo bila kujua au kulikuwa na mfumuko wa bei za bidhaa tofauti na mlivokadiria.
Au fundi naye alianza kujenga kibanda chake mumo-humo. Kuiba materials iliyofika site.
 
Kwanza kujenga nyumba ni ushamba hii dunia sio makazi yetu ya kudumu kwa nini ujenge njiani ?
 
m23 niliacha kuandika zilizidi na picha ya nyumba ilipoishia hiyo m23 ninayo. kwanza fundi kila kitu alichokuwa anasema kiikuwa kinapelea. mfano vigae alisema box33 matokeo yake nilinunua box57
Fundi anajua akikupa gharama halisi dili la ujenzi linayeyuka.
Anakuwa anajua gharama halisi. Na anajua lazima umalize ujenzi.
 
m23 niliacha kuandika zilizidi na picha ya nyumba ilipoishia hiyo m23 ninayo. kwanza fundi kila kitu alichokuwa anasema kiikuwa kinapelea. mfano vigae alisema box33 matokeo yake nilinunua box57
Duh! Huyo kweli ni fundi Maiko. Ndo mana watu wengi huhitaji kujua pia uzoefu (experiance) wa fundi kabla ya kuingia Mkataba naye na ikiwezekana kujua sites alizowahi kujenga na ikiwezekana ww tajiri unawasiliana na Tajiri aliyejengewa nyumba na huyo fundi wako mtarajiwa.
 
Fundi anajua akikupa gharama halisi dili la ujenzi linayeyuka.
Anakuwa anajua gharama halisi. Na anajua lazima umalize ujenzi.
Yeah. Na anajua fika kwamba ukisha anza naye hiyo kazi, sio rahisi tena wewe kughairi na kumtafuta fundi mwingine na anajua pia kwamba mafundi wengi huwa hawachukui kazi iliyoanzwa na fundi mwingine.
 
Ukiwafuata Sana wanaojiita wataalamu WA ujenzi, kibongo bongo hutojenga KAMWE.

Huo msingi TU WA vyumba 3 unafukuzia mil.10+, Bado ujaanza kuinua Kuta, ujaja kwenye kupaua, Kisha finishing.

Ndo Yale Yale unajenga nyumba ya vyumba 3 Kwa mil 300, siku ukitaka kuiuza unaanza kuwalaani madalali.
 
Au kama eneo hilo linatakiwa kwa shughuli ya kimaendeleo, e.g kupisha Mradi fulani, akija valuer anasema ni nyumba ya thamani ya m23. Dah! Unaonesha hata makaratasi (documents) lakini waapi haikubaliki - unagonga mwamba.
 
sasa kama hiyo list yako hapo sijaona hata bajeti ya bati bajeti inaachaje kuongezeka au unaezeka na hizo marine board?
 
Kujenga ni rahisi kama hautajipa mda mfupi, jenga kwa awamu awamu
Automatically ujenzi huenda kwa awamu-awamu i.e. huwezi kujenga moja kwa moja bila kuwa na pauses hapa na pale e.g. muda wa kusubiri ili palipojengwa sementi pakomae n.k. Lakini pia kuna msukumo wa nje e.g. mahali unapoishi au kupanga kuna kero kubwa na unataka kuondokana nayo. Lakini zaidi fedha huwa ina vishawishi vingi - haitunziki kivile.
 
sasa kama hiyo list yako hapo sijaona hata bajeti ya bati bajeti inaachaje kuongezeka au unaezeka na hizo marine board?
Ila hiyo bajeti yake imetisha kwani imeongezeka mara Tatu ya kadirio la awali. Inaonesha hapakuwa na haja ya kufanya makadirio. Kwenye makadirio huwa kuna Error lakini hapo kwake ni severe mistake. Ingekuwa ni ndege manake inaenda kudondoka mazima. Ujenzi na fundi wa namna hiyo ni hatari sana kama huna floating budget au kaAkiba mahali. Yan hapo Unabaki na pagale lako hapo.
 
Ukiwafuata Sana wanaojiita wataalamu WA ujenzi, kibongo bongo hutojenga KAMWE.

Huo msingi TU WA vyumba 3 unafukuzia mil.10+, Bado ujaanza kuinua Kuta, ujaja kwenye kupaua, Kisha finishing.

Ndo Yale Yale unajenga nyumba ya vyumba 3 Kwa mil 300, siku ukitaka kuiuza unaanza kuwalaani madalali.
Nilishangaa sana hii msingi tu 7.6ml labda yupo sehemu ya kichuguu chenye chem chem
 
Nilishangaa sana hii msingi tu 7.6ml labda yupo sehemu ya kichuguu chenye chem chem
Huenda pia mazingira ya kiwanja
Ila Kwa hizo nondo hapo nahisi mkanda WA juu kapigia nondo 4, kitu ambacho kwangu nachukulia Kama complications Kwa mkanda WA msingi WA nyumba ya kawaida ya makazi.
 
Back
Top Bottom