Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Pamoja na hayo fundi niliye mtumia hakuwa na maksio sahihi. Alikuja jamaa jengo likiwa limesimama kama wiki3 nakusanya hela tena akanimbia hapa bila m18 hutoboi na hapo jengo limesimama. jamaa nilimuona anajua sana kukisia hata ingepishana kidogo tuHapo sawa umeeleweka