Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

Ila hiyo bajeti yake imetisha kwani imeongezeka mara Tatu ya kadirio la awali. Inaonesha hapakuwa na haja ya kufanya makadirio. Kwenye makadirio huwa kuna Error lakini hapo kwake ni severe mistake. Ingekuwa ni ndege manake inaenda kudondoka mazima. Ujenzi na fundi wa namna hiyo ni hatari sana kama huna floating budget au kaAkiba mahali. Yan hapo Unabaki na pagale lako hapo.
Hayo makadirio ya fundi,
Unaweza jikuta unajenga nyumba Yako, afu fundi nae anajenga ya kwake.

Mpaka Siku unahamia, nae fundi anahamia kwake.
 
Mafundi wanajiongezaga sana msingi tu tofali 1,500!
Kulikuwa na mwinuko mkubwa kama kule Makete? Kama ni Makete inaweza kufikia hapo. Ni bora kukata udongo ili kuipata level inayotakiwa kuliko kwa kutumia matofali. Lakini kwa Dar na viunga vyake hiyo 1,500 ni just too much.
 
Huenda pia mazingira ya kiwanja
Ila Kwa hizo nondo hapo nahisi mkanda WA juu kapigia nondo 4, kitu ambacho kwangu nachukulia Kama complications Kwa mkanda WA msingi WA nyumba ya kawaida ya makazi.
Huyo lazima aone ujenzi ni gharama sana japo huenda eneo lake ndio linamlazimu afanye hivyo
 
Hayo makadirio ya fundi,
Unaweza jikuta unajenga nyumba Yako, afu fundi nae anajenga ya kwake.

Mpaka Siku unahamia, nae fundi anahamia kwake.
Exactly yes. Ila nyumba za kujengwa kwa mtindo huo wa wizi zinakumbwa na mabalaa mengi e.g. nyufa, moto, mafuriko n.k. Hiv ww hujawahi kujiuliza mbona tofali au mchanga zikihifadhiwa hata pembeni ya barabara haziibwagi?
 
Kulikuwa na mwinuko mkubwa kama kule Makete? Kama ni Makete inaweza kufikia hapo. Ni bora kukata udongo ili kuipata level inayotakiwa kuliko kwa kutumia matofali. Lakini kwa Dar na viunga vyake hiyo 1,500 ni just too much.
Namhurumia naona anajenga nyumba mbili kwa moja
 
Hahahaaa. Mafundi nao huwa wanatoa quiz puzzles kwa matajiri ujue hapo wanakusoma au kukuchora kiaina.
Labda pako hivi
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    205.7 KB · Views: 3
Nabado ilikuwa bado kukamilika. mabati,mbao, mawe cement nk viliongezeka na gharama tu kama kusafirisha material nk. kwa kifupi mimi nilikuwa sijui vingi kwenye ujenzi lakini kwenye manunuzi fundi nilikuwa na enda nae kwa jamaangu ambae ana duka kubwa la hardware
This is very interesting kwamba makadirio ya 9M yanaleta *2 ya mlichokadiria.

Katika makadirio yenu ni kipi hamkukipigia hesabu kikafanya amount ipande?
 
Ukiwafuata Sana wanaojiita wataalamu WA ujenzi, kibongo bongo hutojenga KAMWE.

Huo msingi TU WA vyumba 3 unafukuzia mil.10+, Bado ujaanza kuinua Kuta, ujaja kwenye kupaua, Kisha finishing.

Ndo Yale Yale unajenga nyumba ya vyumba 3 Kwa mil 300, siku ukitaka kuiuza unaanza kuwalaani madalali.
Nyumba ya kilala hoi msingi milion 10 ? Hiii Wajameni !
 
makaratasi yaliniambia boma litataka 12M
nikaingia saiti asee iliisha 19M
Makaratas akikupa mkandaras unyama ,maana ndio hela yake ila mkeka akiandaa fundi maiko kimbia wanachotaka wao ni ku secure tu kibarua huko mbeleni utajua wewe
 
So nyumba ya vyumba 3 tofali ngapi za msingi ni sawa? Mimi nilitaka chumba kimoja na sebule jamaa akasema 7M nikakimbia kwanza
Kuna tofali aina mbili. Za kuchoma na za blocks (sementi) Hizo za sementi kuna zile za inchi tano na za inchi 6. Kwa kawaida zinazotumika kwa ujenzi wa watu wa kawaida (uraiani) ni inchi 5 ila kwa majengo ya Serikali hutumia za inchi 6.
Tofali za block inchi 5 kwa nyumba ya rooms tatu (msingi) hadi kufuta i.e. kuweka upapi wa zege juu yake ili kuzikazia huwa ni kati ya tofali 250 -300 kutegemea mwinuko wa kiwanja kilipo.
 
Back
Top Bottom