Kujenga Rahisi ukipiga hesabu za kwenye makaratasi ingia Site sasa Ndio utajua hujui hapo

Dharau ni kipaji haijalishi una maendeleo bora kiasi gani bado tu mwenye kipaji cha dharau atakuonesha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Sitasahau mimi na fundi wangu tulikaa tukapiga hesabu kila kitu gharama ilikuja m9 na laki4 tu
Maajabu ni kwamba nyumba hadi inamalizwa kuezekwa na hapo bado madirisha vigaena makorokocho kibao hesabu inasoma m23 na ushee nikaachia hapo kuandika na sitakaa niandike kitu kwenye ujenzi. Msimamizi ni mimi mwenyew
 
Halafu mtu mwenyewe awe ni Ke.
 
Kutoka bajeti ya 9M mpaka 23M makadirio gani hayo. Wote mlikuwa hamjui mnachofanya na fundí maiko wako
 
Kutoka bajeti ya 9M mpaka 23M makadirio gani hayo. Wote mlikuwa hamjui mnachofanya na fundí maiko wako
Nabado ilikuwa bado kukamilika. mabati,mbao, mawe cement nk viliongezeka na gharama tu kama kusafirisha material nk. kwa kifupi mimi nilikuwa sijui vingi kwenye ujenzi lakini kwenye manunuzi fundi nilikuwa na enda nae kwa jamaangu ambae ana duka kubwa la hardware
 
Gap kubwa sana hilo mli under estimate au mliongeza vipimo vya jengo bila kujua au kulikuwa na mfumuko wa bei za bidhaa tofauti na mlivokadiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…