Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hdi na kamlisha ilikuwa m27 kwa makadirio ama zaidi. jengo lilizidi ndio maana kilakitu kikaongezekaGap kubwa sana hilo mli under estimate au mliongeza vipimo vya jengo bila kujua au kulikuwa na mfumuko wa bei za bidhaa tofauti na mlivokadiria.
Au fundi naye alianza kujenga kibanda chake mumo-humo. Kuiba materials iliyofika site.Gap kubwa sana hilo mli under estimate au mliongeza vipimo vya jengo bila kujua au kulikuwa na mfumuko wa bei za bidhaa tofauti na mlivokadiria.
Hatukatai ongezeko la gharama lakini sio kwa kiwango hicho cha 2 x.Hdi na kamlisha ilikuwa m27 kwa makadirio ama zaidi. jengo lilizidi ndio maana kilakitu kikaongezeka
m23 niliacha kuandika zilizidi na picha ya nyumba ilipoishia hiyo m23 ninayo. kwanza fundi kila kitu alichokuwa anasema kiikuwa kinapelea. mfano vigae alisema box33 matokeo yake nilinunua box57Hatukatai ongezeko la gharama lakini sio kwa kiwango hicho cha 2 x.
Fundi anajua akikupa gharama halisi dili la ujenzi linayeyuka.m23 niliacha kuandika zilizidi na picha ya nyumba ilipoishia hiyo m23 ninayo. kwanza fundi kila kitu alichokuwa anasema kiikuwa kinapelea. mfano vigae alisema box33 matokeo yake nilinunua box57
Duh! Huyo kweli ni fundi Maiko. Ndo mana watu wengi huhitaji kujua pia uzoefu (experiance) wa fundi kabla ya kuingia Mkataba naye na ikiwezekana kujua sites alizowahi kujenga na ikiwezekana ww tajiri unawasiliana na Tajiri aliyejengewa nyumba na huyo fundi wako mtarajiwa.m23 niliacha kuandika zilizidi na picha ya nyumba ilipoishia hiyo m23 ninayo. kwanza fundi kila kitu alichokuwa anasema kiikuwa kinapelea. mfano vigae alisema box33 matokeo yake nilinunua box57
Yeah. Na anajua fika kwamba ukisha anza naye hiyo kazi, sio rahisi tena wewe kughairi na kumtafuta fundi mwingine na anajua pia kwamba mafundi wengi huwa hawachukui kazi iliyoanzwa na fundi mwingine.Fundi anajua akikupa gharama halisi dili la ujenzi linayeyuka.
Anakuwa anajua gharama halisi. Na anajua lazima umalize ujenzi.
Hapo sawa umeelewekaHdi na kamlisha ilikuwa m27 kwa makadirio ama zaidi. jengo lilizidi ndio maana kilakitu kikaongezeka
Au kama eneo hilo linatakiwa kwa shughuli ya kimaendeleo, e.g kupisha Mradi fulani, akija valuer anasema ni nyumba ya thamani ya m23. Dah! Unaonesha hata makaratasi (documents) lakini waapi haikubaliki - unagonga mwamba.Ukiwafuata Sana wanaojiita wataalamu WA ujenzi, kibongo bongo hutojenga KAMWE.
Huo msingi TU WA vyumba 3 unafukuzia mil.10+, Bado ujaanza kuinua Kuta, ujaja kwenye kupaua, Kisha finishing.
Ndo Yale Yale unajenga nyumba ya vyumba 3 Kwa mil 300, siku ukitaka kuiuza unaanza kuwalaani madalali.
Automatically ujenzi huenda kwa awamu-awamu i.e. huwezi kujenga moja kwa moja bila kuwa na pauses hapa na pale e.g. muda wa kusubiri ili palipojengwa sementi pakomae n.k. Lakini pia kuna msukumo wa nje e.g. mahali unapoishi au kupanga kuna kero kubwa na unataka kuondokana nayo. Lakini zaidi fedha huwa ina vishawishi vingi - haitunziki kivile.Kujenga ni rahisi kama hautajipa mda mfupi, jenga kwa awamu awamu
Ila hiyo bajeti yake imetisha kwani imeongezeka mara Tatu ya kadirio la awali. Inaonesha hapakuwa na haja ya kufanya makadirio. Kwenye makadirio huwa kuna Error lakini hapo kwake ni severe mistake. Ingekuwa ni ndege manake inaenda kudondoka mazima. Ujenzi na fundi wa namna hiyo ni hatari sana kama huna floating budget au kaAkiba mahali. Yan hapo Unabaki na pagale lako hapo.sasa kama hiyo list yako hapo sijaona hata bajeti ya bati bajeti inaachaje kuongezeka au unaezeka na hizo marine board?
Nilishangaa sana hii msingi tu 7.6ml labda yupo sehemu ya kichuguu chenye chem chemUkiwafuata Sana wanaojiita wataalamu WA ujenzi, kibongo bongo hutojenga KAMWE.
Huo msingi TU WA vyumba 3 unafukuzia mil.10+, Bado ujaanza kuinua Kuta, ujaja kwenye kupaua, Kisha finishing.
Ndo Yale Yale unajenga nyumba ya vyumba 3 Kwa mil 300, siku ukitaka kuiuza unaanza kuwalaani madalali.
Au fundi alidukua taarifa zako kwamba umepata mkopo???Nilishangaa sana hii msingi tu 7.6ml labda yupo sehemu ya kichuguu chenye chem chem
Mafundi wanajiongezaga sana msingi tu tofali 1,500!Au fundi alidukua taarifa zako kwamba umepata mkopo???
Huenda pia mazingira ya kiwanjaNilishangaa sana hii msingi tu 7.6ml labda yupo sehemu ya kichuguu chenye chem chem