Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mjomba wangu aliwahi niambia!Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
[emoji38][emoji38][emoji38] ila kama ana watoto hawapati shida mkuu kibaya asingekua na sehemu madogo wangepata shidaImetokea kwa besti wangu. Roho inaniuma sana. Shemela anaingiza majamaa utadhani Nabi anafanya sub Utopoloni
Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrsDah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
Dah kweli mkuu yaan tabu tupu tu yaani mpk sometime unawaza mpk akili ya mwisho ila ndio maisha ila vijana ambao Bado better fanya mapema aiseeHapo ndio utambue kuwa ukiachalia swala LA age difference between Mme na Mke,hizo stress za majukumu lazima zitafanya ufe haraka.
Imagine hapo utafute kwa akili ya Mke na watoto-chakula bado,bado uhakikishe unamfarahisha mkeo ukiwa ndani ya hizo hizo stress-bado uhakikishe huko unapopatia hela zako pawe sawa.
Kwa hali hiyo kwa nini usife haraka
Kama watoto wenyewe ni wake sasa. Kwa uchepukaji ule unaweza kuta mshkaji alikuwa analelea wajuba.[emoji38][emoji38][emoji38] ila kama ana watoto hawapati shida mkuu kibaya asingekua na sehemu madogo wangepata shida
Nani analipwa iyo 1.3m?Hela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m.
Dah noumaaa sanaaaBado hiyo nyumba unayoijenga kwa tabu,ukiishimo sana ni 15 years,kisha utamwachia huyo Mkeo ambaye hata haja struggle kuipata kama wewe.
Dunia haipo fair kabisa kwa upande wa Mwanaume.
Tatizo la kuwahi kujenga ni pale unapogundua kia ramani yako ni old fashioned!!Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa Bado hujaanza familia itakua Bora Sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu
Ni ndogo au kubwa? mimi wakati naacha kazi hiyo ya utumwa ya kwa jiliwa na wa bongo wenzangu nilikua na lipwa 1.63m take homeNani analipwa iyo 1.3m?
Akikusaidia tu!YAANI anaona kama kajenga mwenyewe na atakupangia wa kuingia na kutoka kwenye nyumba!!!Mke hasaidii?
Kwahiyo mkuu tufanye je tuoe wanao tuzidi umri ili watutagulie kufa.Bado hiyo nyumba unayoijenga kwa tabu,ukiishimo sana ni 15 years,kisha utamwachia huyo Mkeo ambaye hata haja struggle kuipata kama wewe.
Dunia haipo fair kabisa kwa upande wa Mwanaume.
Asali huleta usingizi mtamu na wa haraka!!Ndo ukweli mkuu 🙏🙏
Nafufuka shenzi kabisaSasa unajenga... ile unamalizia ujenzi tu unadedi... wahuni wanakuja kumla wife tunda kimasihara kwenye nyumba yako
Embu mkuu njoo na Hesabu ya kima Cha chini Cha mshahara serikarini ili tuone hiyo hesabuHela ya mshahara haijengi ndo maana unaumia imagine mshahara wako take home ni 1.3m monthly, nyumbani matumizi ni 15000 kila siku kwa mwezi 450k usafiri wako ni na luch 5000 kila s siku 150,000 kodi ya nyumba ni 200k, jumla 800,000, salio 700,000 kila mwezi ukiweka kwenye nyumba itakuchukulia miaka 20 kijenga nyumba ya 50m. Kama umeanza kujenga na miaka 40 unaingia nyumba ukiwa 60yrs
Mkuu najenga vyumba vitatu tu hata sio kubwa sanaaMkuu jenga nyumba ndogo, alafu balance watoto wasifuatane sana, pia usizae zaidi ya watoto watano