Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

Ushauri mwingine kwa Wafanyakazi wa Umma ni kufanya kilimo cha kujikimu hasa kwenye mazao ya chakula na mboga mboga. Binafsi, nalima Mpunga, Mahindi na Ngano, vilevile nafuga kuku, ng'ombe na mbuzi. Hivyo, sihitaji kununua sokoni baadhi ya mahitaji yangu na surplus nauza. Hapo wakati wa kujenga hutakuwa na stress. Ukihitaji kuku unaingia bandani unafyeka mmoja mnakula na watoto.
 
Watoto watano ? Mi nikadhani usizidishe watatu mkuu, unless una pesa nyingi, ukiwa na watoto watatu kuna kipindi itafika ada za watoto kwa mwaka ni 6M hapo hawajala hawajafanya kitu kingine chochote
Kujenga kuna mungu......nyumba yangu ya kwanza nilijenga Nikiwa Tayari Nina watoto wanne Ila kwakuwa ndo Wakati ulikuwa umefika namifereji kufunguka sikuona ttzo.......hivyo unaweza ukiwa tayari umeshaanzisha familia
 
Yaani wanawaza kujenga na kusubr kufa..hawawazi hata kumiliki biashara kubwa,matokeo yake umaskini unaenda kizazi hadi kizazi.hakuna anaye waza nje ya box,hawawazi hata angalau watoto wakute wazazi walifanya uwekezaji ili watoto waendeleze.
Hivi Hakuna uwekezaji kwenye majengo! Mi nahisi uwekezaji kila mtu ana aina yake anayoimudu hivyo usione anaefikiria biashara ya majengo pia na uwekezaji hata watoto wakiukuta wataona kabisa faida ya Huo uwekezaji
 
Watoto watano ? Mi nikadhani usizidishe watatu mkuu, unless una pesa nyingi, ukiwa na watoto watatu kuna kipindi itafika ada za watoto kwa mwaka ni 6M hapo hawajala hawajafanya kitu kingine chochote
Wapi huko ada million 6.

Elimu si bure?

Ukiona unalalamika bei ujue una force.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZQUOTE="Mvua inayonyesha, post: 46931492, member: 684706"]
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
[/QUOTE]
Zaidi ya kumi mkuu!
 
Hyo laki 7 inayobaki labda iwe negative mkuu
 
Majukumu kibao mkuu huku Kodi, matumizi ya daily , wazazi upige tufu kidg na ada za watoto na matumizi yao ya kila siku shule sio kitoto lazima kichwa kiumee alafu na umri nao ndo unatupa mkono dah
Uzuri wake watoto wanakua na wala hawatakumbuka siku walizokula ugali na mchicha wakati unaweka nguvu katika ujenzi.

Ni vizuri kuwa na vijana wa kubadilishana nao mawazo ukiwa na miaka 50. Maana yake uliwapata ukiwa na miaka 25+.
 
Uzuri wake watoto wanakua na wala hawatakumbuka siku walizokula ugali na mchicha wakati unaweka nguvu katika ujenzi.

Ni vizuri kuwa na vijana wa kubadilishana nao mawazo ukiwa na miaka 50. Maana yake ukiwa pats ukiwa na miaka 25+.
Tatixo la sisi watu wa mijini mtotot wa miaka 25, 23 22 20 bado unakua ma mawozo ya kitoto hamwezi kubadilishana mawozo ya kujenga, akili zao zimejaa betting premier league Simba na yanga film za kizungu. Apple za simu nk.........watoto wamjini wanakua miili na akili za darasani ila zamazingira wanachelewa sana kujitengemea na kusaidia mzazi kimawazo.
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Usiwe na simu ya mkononi ili mizinga kwa wakwe isiwepo!Hata kama mlokole jizime data kama vile umelewa!
 
Waambie waache;
 
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha nyumba kila kitu.
Ni wazo zuri ila naongezea kama ukiwa na vyanzo vingi au kipato kinachowezesha kujenga, kujikimu na kuhudumia familia inakuwa vyema pia.
 
Kwa mshahara pekee wa Ofisa wa kawaida Serikalini (Halmashauri na Wizarani) ambaye hana madaraka ya ukuu wa Idara kufikia mshahara take home 1.3 ni umekaa not less than 15 years. Kwa pato hilo pia majukumu, inabidi ujenge nyumba ya kawaida sana laaa sivyo kazi unayo, unaweza usimalize
 
Sasa unajenga... ile unamalizia ujenzi tu unadedi... wahuni wanakuja kumla wife tunda kimasihara kwenye nyumba yako
We Jenga unaweza usife pia. Hatuwezi kuacha kufanya vitu Kwa hofu ya kifo Wacha kije Kwa wakati wako. Ikiwa hivyo tutaogopa kuzaa kisa mtoto ana mwaka tu nimekuta nani atamlea...etc. na vifo hutokea dunia haijawahi kuacha kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…