kwanini unaenda kwenye conclusion haraka una mwanasheria..?Halafu inacost Billions of Money, CCM ni majambazi.
Duh!!! Halafu mji unakua kwa kasi sana sasa hivi why are they doing this???!!!!Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana.
Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge.
Ilikuwaje mkapa miaka 40 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa watu 60,000?, wakati huo pengine ulikuwa haujai lakini leo unajaa hadi kukosa nafasi.
Design ya wakati wa Magufuli uwanja ulikuwa na capacity ya siti 85,000 imekuwaje tumefilidika hadi kujenga uwanja wa siti 32,000 kwenye makao makuu ya nchi?
walitakiwa wajenge uwanja wa 40 seats. na wakaziUzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana.
Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge.
Ilikuwaje mkapa miaka 40 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa watu 60,000?, wakati huo pengine ulikuwa haujai lakini leo unajaa hadi kukosa nafasi.
Design ya wakati wa Magufuli uwanja ulikuwa na capacity ya siti 85,000 imekuwaje tumefilidika hadi kujenga uwanja wa siti 32,000 kwenye makao makuu ya nchi?
Wanaacha nafasi ya kujengwa uwanja mwingine huko mbeleni, maana familia zao ndio zitandelea kutawala nchi hii kwa mabavu. Hivyo hawataki watoto wako wakose ulaji huko mbeleni.Duh!!! Halafu mji unakua kwa kasi sana sasa hivi why are they doing this???!!!!
Huko juu wanajiona wao ndio wenye akili, wakati mtanzania mwenye exposure ya nje anaona kabisa hamna kitu, hawapendi kukosolewa. Halaf wakibanwa wanatoa mlioYale Yale ya Amani stadium Zanzibar, wametumia mabilion kuujenga wamekuja FIFA na CAF wakasema haukidhi viwango vya kimataifa sasa hivi wanaujenga upya.
Viongozi wa CCM ukifikiria sana utendaji wao unaweza pata stroke.
Ni madhara ya kuwa na viongozi waliodumaa kiakili.Wanawaza mwisho wa urefu wa pua zao.Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana.
Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge.
Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti 60,000?, wakati huo pengine ulikuwa haujai lakini leo unajaa hadi kukosa nafasi.
Design ya wakati wa Magufuli uwanja ulikuwa na capacity ya siti 85,000 imekuwaje tumefilisika hadi kujenga uwanja wa siti 32,000 kwenye makao makuu ya nchi?
Amani ina capacity ya 15,000 baada ya kuujenga upya kwa bilions of money,Yale Yale ya Amani stadium Zanzibar, wametumia mabilion kuujenga wamekuja FIFA na CAF wakasema haukidhi viwango vya kimataifa sasa hivi wanaujenga upya.
Viongozi wa CCM ukifikiria sana utendaji wao unaweza pata stroke.
Gharama za huo uwanja ndiyo kituko.Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana.
Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge.
Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti 60,000?, wakati huo pengine ulikuwa haujai lakini leo unajaa hadi kukosa nafasi.
Design ya wakati wa Magufuli uwanja ulikuwa na capacity ya siti 85,000 imekuwaje tumefilisika hadi kujenga uwanja wa siti 32,000 kwenye makao makuu ya nchi?
Mimi Babu yake ni Bush Lawyer! Nitamtetea kwenye mahakama yoyote ile hapa duniani. Maana alichokisema Mjukuu wangu kina ukweli kwa π―%kwanini unaenda kwenye conclusion haraka una mwanasheria..?