Kujenga uwanja wa siti 32,000 Dodoma, Ni kukosa Maono

Uwanja wa 30K ni sahihi kabisa kwa sehemu kama Dodoma hata kwa miaka 20 ijayo. Kuna watu mnataka Dodoma iende kuwa kama Dar es Salaam, mtazamo ambao ni kosa.
Wewe na hao waliofanya maamuzi ya kujenga uwanja kiwango hicho mnafanana na mtu anaye jenga nyumba ya chumba kimoja na choo kimoja chumbani kwake sababu Hana watoto kwa Sasa.
Sawa na kujenga barabara ya single lane kati ya kuunganisha mikoa sababu mikoa hiyo kwa sasa gari chache.
Umeanza lini kuwa na akili hii duni?
 
Mkuu it's not a matter of Dodoma or anywhere. Siku tutapotaka kuhost mashindano makubwa ndipo utakumbuka hizo standards za FIFA anazoongelea mtoa mada.
 
Kwani viwanja vya 30K havitumiki kuhost mashindano makubwa?
 
Wewe na hao waliofanya maamuzi ya kujenga uwanja kiwango hicho mnafanana na mtu anaye jenga nyumba ya chumba kimoja na choo kimoja chumbani kwake sababu Hana watoto kwa Sasa.
Sawa na kujenga barabara ya single lane kati ya kuunganisha mikoa sababu mikoa hiyo kwa sasa gari chache.
Umeanza lini kuwa na akili hii duni?
Hapo dar mechi za simba,yanga,mkapa haijai,wanaoingia hawazidi 30000,hata mechi za kimataifa
 
Yaani hapo wamebugi kweli! Ungefika hata elfu 40 basi. Dodoma kuna uwanja wa Jamhuri ungeendelea kutumika kwa sasa serikali ijipange ijenge mkubwa kuliko hizi mambo za watu elfu 30
 
Wewe na hao waliofanya maamuzi ya kujenga uwanja kiwango hicho mnafanana na mtu anaye jenga nyumba ya chumba kimoja na choo kimoja chumbani kwake sababu Hana watoto kwa Sasa.
Sawa na kujenga barabara ya single lane kati ya kuunganisha mikoa sababu mikoa hiyo kwa sasa gari chache.
Umeanza lini kuwa na akili hii duni?
Usitambe sana kuwa una akili kama akili zako ndiyo hizo unazoonyesha hapa. Uwanja wa 30K ni standard nzuri tu kwa Dodoma na maeneo mengi nchi hii hata kwa miaka 20 ijayo.

Mmejifunza wapi kuwa uwanja wa kuingiza watu 30K ni mdogo? Mnataka kila mtu aende uwanjani mbona kwa Mkapa tu hapo uwanja unapelea karibu mechi zote hata zile kubwa au bado population haijawa kubwa? Watu wanajazana vibanda umiza halafu uwanja mtupu.

Elekeza nguvu huko kwenye barabara nitakuunga mkono, na nimewahi kulilalamikia hilo sana tu, ila si kwenye huu uwanja unaojengwa kwa ajili ya watumishi wa serikali na wanasiasa.
 
Back
Top Bottom