Kujeni mnipe kampani

Kujeni mnipe kampani

Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.

Uzi tayari
M ningependa nije hapo ulipo, nisogee hapo buzuruga?
 
Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Sikumbuki mara ya mwisho kucheka kama leo ilikuwa lini
 
Back
Top Bottom