Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hapo Mimi namhurumia Nusrat Hanje, wengine hao wameshiriki kupiga deal. Hanje maskini katolewa jela kiaina na kujikuta anatakiwa aape . Na kwake limefanyika kuhalalisha uhalifuHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Aje ajieleze mbele ya chama atasamehewaHapo Mimi namhurumia Nusrat Hanje, wengine hao wameshiriki kupiga deal. Hanje maskini katolewa jela kiaina na kujikuta anatakiwa aape . Na kwake limefanyika kuhalalisha uhalifu
Hazina ya taifa inatumika visivyo
Futa na usitunze hii sentensi ili wakati ukila matapishi kesho, uwe umesahau!Hata wasipohamia CCM wale wanajielewa na wanaunga mkono juhudi za serikali ya CCM
Kwenye uteuzi wa mkuu, upande wa wanawake bado nafasi 4, pia!Wahamie CCM wakapewe ukurugenzi,ukuu wa wilaya etc.
Hujiulizi kwanini halmashauri kuu ya CCM imeacha ajenda zake na kuanza kuwajadili kina Mdee.HIVI HUKO UFIPANI BADO MUNAWEWESEKA MUKIWAOTA HAWA RAIA WASIO NA CHAMA?? MUMEPAYUKA PAYUKA WAKATI WA KUWATIMUA NA MATUSI JUUUU, NAO WAMEAMUA KUJIKALIA KIMYAA, KWA NINI BADO MUNAWAOTA WAMAMA WA WATU? MUMEWATIMUA KIBABE BILA HATA YA KUWASIKILIZA, SASA MNATAFUTA NINI KWAO??
Hawa wanawake wamekaa miaka hii mitano wakiwa wahanga wa kasumba ya mbinu na mkakati wa kupinga kila kitu hadi wanaamini ccm haifai kuongoza nchi hii. Ni waomini wa ubinafsi na uliberali wakati ccm kinaamini katika falsafa ya ujamaa na kujitegemea. Ni hatari kuwaingiza hawa wanamama ccm labda kama wanachama wa kawaida tu sio haraka kufunguliwa fulsa kua viongozi. Hawa mujue ccm kwao wanaiona ni adui.Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Iache ibaki mkuu, wakishindwa kukubaliana na kuelewana na chama chao wahamie kwingineFuta na usitunze hii sentensi ili wakati ukila matapishi kesho, uwe umesahau!
Atauzidi wa Slaa.... hahaa.Wewe subiri kesho usikie muziki wa Halima James Mdee!
Da deki.Thus umefanyika wa bashiru badala ya wa Mdee.Mdee hawezi kuwa maarufu nje ya chadema.
sasa hii ndio laana na gharama ya usalitiIf that move (going to sisiem) is true, then Halima would strip off her political clothes to become naked.
History has it that; women have been political and spiritual traitors, eg Ever vis a vis Adam, Delila vis a vis Samson, Bibi Titi vis a vis Nyerere etc. Do not trust wonen fully.
Tuishi nao kwa akili, imesema Biblia.
Kwamba Wakae Kikao na Speaker cha Siri kizae Matunda Over My dead Body!!Watazungumza kesho baada ya Polepole kuapishwa!
asante kwa kumbukumbuTarehe kama ya leo mwezi uliopita Halima Mdee alikamata kura feki zilizotengenezwa na hao hao ccm, yaani ndani ya mwezi mmoja anashirikiana nao hao hao watesi wake! Simwelewi kwa kweli
Kwani hao The 19 Dadaz wakihamia CCM Kwetu kuna tatizo au watapatwa na mkasa wowote? Ni Mpumbavu tu pekee ambaye ataichukia CCM hii.Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Sawa tumekusikia afisa habari wa COVID-19!Watazungumza kesho baada ya Polepole kuapishwa!