Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Hapo Mimi namhurumia Nusrat Hanje, wengine hao wameshiriki kupiga deal. Hanje maskini katolewa jela kiaina na kujikuta anatakiwa aape . Na kwake limefanyika kuhalalisha uhalifu

Hazina ya taifa inatumika visivyo
 
Aje ajieleze mbele ya chama atasamehewa
 
HIVI HUKO UFIPANI BADO MUNAWEWESEKA MUKIWAOTA HAWA RAIA WASIO NA CHAMA?? MUMEPAYUKA PAYUKA WAKATI WA KUWATIMUA NA MATUSI JUUUU, NAO WAMEAMUA KUJIKALIA KIMYAA, KWA NINI BADO MUNAWAOTA WAMAMA WA WATU? MUMEWATIMUA KIBABE BILA HATA YA KUWASIKILIZA, SASA MNATAFUTA NINI KWAO??
Hujiulizi kwanini halmashauri kuu ya CCM imeacha ajenda zake na kuanza kuwajadili kina Mdee.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Hawa wanawake wamekaa miaka hii mitano wakiwa wahanga wa kasumba ya mbinu na mkakati wa kupinga kila kitu hadi wanaamini ccm haifai kuongoza nchi hii. Ni waomini wa ubinafsi na uliberali wakati ccm kinaamini katika falsafa ya ujamaa na kujitegemea. Ni hatari kuwaingiza hawa wanamama ccm labda kama wanachama wa kawaida tu sio haraka kufunguliwa fulsa kua viongozi. Hawa mujue ccm kwao wanaiona ni adui.
 
kila sehemu wamebanwa, hapo wako kimya wanafanya mipango jinsi ya kujinasua
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana

If that move (going to sisiem) is true, then Halima would strip off her political clothes to become naked.

History has it that; women have been political and spiritual traitors, eg Eve vis a vis Adam, Delila vis a vis Samson, Bibi Titi vis a vis Nyerere etc. Do not trust wonen fully.

Tuishi nao kwa akili, imesema Biblia.
 
Wameamua kuwa wapole,lakini usije ukawa upole wa ujanja.Ni mapema mno pande zote kusherekea ushindi.
 
Futa na usitunze hii sentensi ili wakati ukila matapishi kesho, uwe umesahau!
Iache ibaki mkuu, wakishindwa kukubaliana na kuelewana na chama chao wahamie kwingine
Maendeleo hayana vyama
 
Thus umefanyika wa bashiru badala ya wa Mdee.Mdee hawezi kuwa maarufu nje ya chadema.
Da deki.
Ukiona wanakaribishwa ccm ndiyo kusema ubunge wao umeyeyuka rasmi na wamekata tamaa.
Nendeni ccm mkapewe udc na ukatibu tawala ambapo jamaa ana uwezo wa kuwafukuza kazi aliyowapa hata ya usiku wa manane
 
If that move (going to sisiem) is true, then Halima would strip off her political clothes to become naked.

History has it that; women have been political and spiritual traitors, eg Ever vis a vis Adam, Delila vis a vis Samson, Bibi Titi vis a vis Nyerere etc. Do not trust wonen fully.

Tuishi nao kwa akili, imesema Biblia.
sasa hii ndio laana na gharama ya usaliti
 
Msaliti ni msaliti tu whether ametoka CCM au CHADEMA-Hao COVID-19 ni aibu kwa jamii na siku zote msaliti haaminiki kwa lolote au yeyote.
 
Watazungumza kesho baada ya Polepole kuapishwa!
Kwamba Wakae Kikao na Speaker cha Siri kizae Matunda Over My dead Body!!

Ndugai Tulia Lile deni lako Ethiopia Airline la 16/12/2016 Tutaliweka wazi ujue

Tunakumbuka
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Kwani hao The 19 Dadaz wakihamia CCM Kwetu kuna tatizo au watapatwa na mkasa wowote? Ni Mpumbavu tu pekee ambaye ataichukia CCM hii.
 
Back
Top Bottom