Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hapo Mimi namhurumia Nusrat Hanje, wengine hao wameshiriki kupiga deal. Hanje maskini katolewa jela kiaina na kujikuta anatakiwa aape . Na kwake limefanyika kuhalalisha uhalifuHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Hazina ya taifa inatumika visivyo