Kujichora tattoo ni vibaya au dhambi?

Kujichora tattoo ni vibaya au dhambi?

"Ni vibaya au ni dhambi" ndo nini??
Ukimsoma vizuri mtume Paulo kwenye Warumi 14 hutopata tabu kwenye vitu vingi. Mfano soma hapa ;

22 Ile imani uliyo nayo uwe nayo nafsini mwako mbele za Mungu. Heri mtu yule asiyejihukumu nafsi yake katika neno lile analolikubali.
Warumi 14 :22

23 Lakini aliye na shaka, kama akila, amehukumiwa kuwa ana hatia, kwa maana hakula kwa imani. Na kila tendo lisilotoka katika imani ni dhambi.
Warumi 14 :23
 
Vijana wa siku hizi unakuta mtu kajichora kama ukuta wa jangwani secondary mpk unajiuliza huyu akili anazo vzr kweli
 
Mfano nini dhambi kwenye tattoo kama hii?
vain_venom_ink_tattoos-1543760962624.jpg
 
Tusijekujazana hofu alafu vijana wakitubana tunakosa pakutokea na kuishia kulaani ...mtoto anakuuliza "Daddy what's wrong with this" unaishia kutukana ...[emoji25] [emoji25]
 
Ni vibaya kuchora tattoo mwilini
Kuna watu wanajua hivyo kuwa kidini inakatazwa lakini bado wanaingia nazo na kuabudu
Kuna watu wanachagua dhambi na dhambi na hii ni hatari sana
Sio ujana bali ni watu uliokuwa karibu nao
 
Mfano nini dhambi kwenye tattoo kama hii?View attachment 953438
Anafundisha nini kwa kupitia mwili wake? Biblia imeandikwa na anayetaka ataisoma sio katika miili ya watu. Msalaba ni alama ya nini? Inahusishwa na ukombozi wa wakristu, japo Yesu alitundikwa mtini.

Na wanawake wanapaswa kujistiri, kujichora kwake na kutaka watu waone, analazimika kujiweka uchi.

Hapo si kujichora tu kunakomfanya aende kinyume na makatazo, alichokichora na ulazima wa kujiachia wazi ni machukizo.
 
Nimezoea kuona wafungwa wengi hutokea jela na tattoo, mbali ya hapo wanawake
wanaojiuza wengi walikuwa wanachora “fu.k my as much as u can” mgongoni au kwenye chura. Wakizeeka au wakienda kumuona daktari aibu inawapata wanaanza kusema samahani.

Sikuhizi watu huchora tattoo majina ya wapenzi wao.
Nikionaga msichana ana tatoo hata mzuka wa kumla unaisha, nahisi ni malaya
 
Anafundisha nini kwa kupitia mwili wake? Biblia imeandikwa na anayetaka ataisoma sio katika miili ya watu. Msalaba ni alama ya nini? Inahusishwa na ukombozi wa wakristu, japo Yesu alitundikwa mtini.
Na wanawake wanapaswa kujistiri, kujichora kwake na kutaka watu waone, analazimika kujiweka uchi.
Hapo si kujichora tu kunakomfanya aende kinyume na makatazo, alichokichora na ulazima wa kujiachia wazi ni machukizo.
Mkuu umenijazia maswali mengi. Jibu basi usaidie na wengine ...
 
Nimezoea kuona wafungwa wengi hutokea jela na tattoo, mbali ya hapo wanawake
wanaojiuza wengi walikuwa wanachora “fu.k my ass as much as u can” mgongoni au kwenye chura. Wakizeeka au wakienda kumuona daktari aibu inawapata wanaanza kusema samahani.

Sikuhizi watu huchora tattoo majina ya wapenzi wao.

Nimeona aibu mimi.
 
Back
Top Bottom