Kujichora tattoo ni vibaya au dhambi?

Kujichora tattoo ni vibaya au dhambi?

Jombaa amka ndotoni tatoo ni urembo tu usitishwe na shetani anaonea wivu watu wa Mungu
 

Mambo ya Walawi 19:28​

Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
 
Back
Top Bottom