Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amefanya dhambi gani? Tusaidiane ...View attachment 953532
KUTOKA 20:4-5Huyu amefanya dhambi gani? Tusaidiane ...View attachment 953532
Hapo kosa ni pale unapovisujudia, huo ndio ujumbe mkuu. Je wanaojichora wanavisujudia?KUTOKA 20:4-5
usijifanyie sanam ya kuchonga wala mfano wa kitu chochote kilocho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia 5:usivisujudie wala kuvitumikia..
Kuchora tatoo sio dhambi wala sio upungufu wa maadili, ila utakachokichora na sehem utakayochora ndicho kinaweza kukufanya uonekane unakosa maadili.. Kiafrika tatoo zilikuwepo toka enzi na enzi kama ishara ya urembo kwa wanawake na ushujaa kwa wanaume.. technologia waafrica tuliotumia zamani ilikuwa ni salama kiafya( tatoo zilikuw zinawekwa kwa moto au kwa kuchanwa na vitu vyenye ncha kali)tofauti na utaalam unaotumika sikuhiz..Habari wakuu,
Kuna kisa ambacho nisingependa kukiweka hapa lakini kimenivutia kuandika kidogo ufahamu juu ya tattoo kama ni la ya kutishana tu.
Je kujichora tattoo ni dhambi? Karibuni kwa mitazamo zaidi ya kimaadili na kidini tuwasaidie vijana.
Hakuna kitu kisichokuw na maanaHapo kosa ni pale unapovisujudia, huo ndio ujumbe mkuu. Je wanaojichora wanavisujudia?
Sasa wewe ndio umeandika kwa namna ya kumfunza kijana. TuelimishaneKuchora tatoo sio dhambi wala sio upungufu wa maadili, ila utakachokichora na sehem utakayochora ndicho kinaweza kukufanya uonekane unakosa maadili.. Kiafrika tatoo zilikuwepo toka enzi na enzi kama ishara ya urembo kwa wanawake na ushujaa kwa wanaume.. technologia waafrica tuliotumia zamani ilikuwa ni salama kiafya( tatoo zilikuw zinawekwa kwa moto au kwa kuchanwa na vitu vyenye ncha kali)tofauti na utaalam unaotumika sikuhiz..
tatoo ink(wino)una chemicals nyingi including heavy metals ambazo ni hatari kwa mwili wa binadamu..na zinapowekwa chini ya ngozi nyingine huingia katika mzunguko wa damu (sumu hizo zikifikia kiwango fulani katika damu husababisha kansa ya damu, Pia kiwango cha sumu hizo kikizidi kwenye damu na ini..ndio maana watu wenye tatoo hawaruhusiwa kuchangia damu.
Hizi ndio shule sasa.Kiafya ubaya wa tatoos ni unaweza kuambukizwa magonjwa kama Aids, Hepatisis, kwa sababu ya tatoo instruments zisizo salama! Pia unaweza kupata serious skin irritation. Tatoos mara nyingi ni alama ya kuwa memba wa criminal gangs. Nchini Japan, ukiwa na tatoos huruhusiwi kuingia kwenye public places kama gym, pools, n.k kwa sababu wanapigania vita gengi la kihalifu iitwayo Yakuza.
Interesting ...tusaidie hizo risk mkuu!
vipi alifuta?Kuna familia ugomvi mzito mno umeibuka baada ya mtoto kujichora tattoo ya ua mkononi. Ugomvi mkubwa hadi ikanifikirisha mbali zaidi.
you are rightReligious beliefs pembeni, kuna scientific studies zimeonesha health risks za tattoos. Pengine hii ndiyo njia rahisi ya kuielewesha akili ndogo ya kibinadamu. Hayo mengine ya kiimani ni too complicated kwa akili ya kibinadamu!
ina je?Kwa imani yetu sisi ya kiislam ni dhambi kujichora tatoo ktk mwili