falcon Q JF-Expert Member Joined Feb 28, 2023 Posts 972 Reaction score 2,569 Jan 16, 2024 #81 Jombaa amka ndotoni tatoo ni urembo tu usitishwe na shetani anaonea wivu watu wa Mungu
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 16, 2024 #82 Mambo ya Walawi 19:28Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Mambo ya Walawi 19:28Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jan 16, 2024 #83 Mamndenyi said: Mambo ya Walawi 19:28Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA. Click to expand... Waliambiwa wanawaisrael,je wewe ni muisrael?
Mamndenyi said: Mambo ya Walawi 19:28Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA. Click to expand... Waliambiwa wanawaisrael,je wewe ni muisrael?