Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Na kuna mshkaj alipata gpa ya 4.6 lugalo hapa form four dv 3 na alipata muhas now anatarajia kuingia second year, na Mambo yanaenda vizur na mkopo alipata , ni mipango ya Mungu tu
 
Bora umenena mkuu

Na kuna mshkaj alipata gpa ya 4.6 lugalo hapa form four dv 3 na alipata muhas now anatarajia kuingia second year, na Mambo yanaenda vizur na mkopo alipata , ni mipango ya Mungu tu
Hiyo kawaida mkuu kinachoangalia ni GPA nzuri na PASS 4 za O LEVEL bila kujali division mbona wapo wengi hapo MUHAS wenye Div 3 za O level na wana GPA za kutisha.
 
Hiyo kawaida mkuu kinachoangalia ni GPA nzuri na PASS 4 za O LEVEL bila kujali division mbona wapo wengi hapo MUHAS wenye Div 3 za O level na wana GPA za kutisha.
Kweli kabisa chief nina ushahid wa hao watu wapo muhas Wana gpa kali ila o level 3🙏🙏shukran sana
 
ndugu unasema miliona tatu? Bugando ada 5.9m,Kampala 6.7m na kuna vyuo ada zaidi ya hizo. Hapo bado kusoma ni miaka 5
 
Acheni kupotosha jmn....kama mtu ana gpa ya 5, probability ya kupata muhas ni kubwa kuliko vyuo vyote tz, sababu kutokea diploma, muhas wanachukua watu 20,udom watu 10 na udsm(mbeya) watu 08...mimi npo muhas mwaka wa pili huu na nmetokea diploma nikiwa na same gpa, na niliomba vyuo vingi tuu na vyote nilipata, udsm nlipata, kcmc,st Joseph ,muhas
 
Kaka,huyu anapata niamin mimi.....ww unasema tu wapo wengi wakat hata kuomba hapo muhas hujawah omba
Ajaribu mapema japo kweli kwa gpa yake probability inakua kubwa kupata lakini aombe na vyuo vingine vya public
 
Thank you so much🙏shukrani sana
 
ndugu unasema miliona tatu? Bugando ada 5.9m,Kampala 6.7m na kuna vyuo ada zaidi ya hizo. Hapo bado kusoma ni miaka 5
Hiyo ni minimum tu, hata hiyo 5M bado mambo mengine utakuta Kwa mwaka una unguza zaidi ya 8 M
 
Apate muhas kdg kuna urahc wa kufaulu kuliko vyuo vingne vingi...
Muhas mbona nasikiaga kugumu hapo binafsi nimepita Azania hapo nilikua nakujaga kucheki mpira usiku hapo muhas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…