Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

Tunaangalia ubora sio kujipendelea. Hao wanafunzi wa Sudan ulitegemea waseme sio chuo bor na wakati wameponea hapo kama wakimbizi. Na hao sio references . Dogo nenda Makerere utarudi unaweza kujieleza na Kimombo vizuri.
 
Kumbe hili suala ni kweli? Niliwahi kuambiwa nikajua uongo, sasa ndo GPA gani hii? Wizii mtupuu.
Khaaaah
 
Hivi hii ni kwelii?

Maana nilishangaa mshikaji mmoja karibia kila CAT anapiga zake GPA ya 2.0 havuki hapo wala hashuki hapo.

Cha kushangaza paper la mwisho mwaka wa tatu kakunja GPA ya 4.7
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaa sana.
 
Wee ni muongo sanaa khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na hii takataka sio vyuo vyote vilipenda kushiriki, tuletee ile ranking ya Kimataifa kila mwaka inatoka na mwaka huu ilitoka mwezi wa 8 ndio ujue. Tangu lini University of Cape Town ulishawahi kupitwa Afrika.
Hawezi kuja na majibu huyu hhiyo data haipo africa mzee
 
Hii ndio Uni ranking, Top 200 University 2023. Hii wadau wingi wa elimu na DVCA waliongea namna watakavyofanya kuboresha.
View attachment 2805590
Hii ndo ipo sawa mzee huyo analeta kuongea asichojua dogo aombe Makerere hapo,japo kwa makerere sasa hivi wameanzisha qualification lazima uwe na experience ya miaka miwili kazini toka umalize diploma ndo wanakuchukua kuna ambao wamekosa hapo kwa hiki kigezo
 
Itokee bahati wengi wa Diploma wasiombe hapo atapata, kwa sababu miaka hii naona equivalent hawaombi wengi sana kama miaka ya 2015 hadi 2018. Namshauri aombe ila na vyuo vingine pia.
Wengi wa diploma wanaomba sana kwa sasa asikudanganye mtu,competition kubwa sana kwa sasa hiyo GPA zipo kibao
 
Sawa mkuu ndio na mwambia GPA za 5 zipo nyingi sana na nafasi ni chache, form four Physics, Chemistry and Biology angekuwa na B and above angalau.
Ila mwache aombe tu anaweza pata
 
Ulipataje gpa ya 5 kwa hayo matokeo ya o level??kweli mambo hubadilika
 
Kumbe hili suala ni kweli? Niliwahi kuambiwa nikajua uongo, sasa ndo GPA gani hii? Wizii mtupuu.
Khaaaah
Nacte kuna upuuzi mwingi sana kule sijui kuna shida gani. nacte ukipata chini ya gpa ya 4 basi umetaka mwenyewe, kule gpa za 5 za kumwaga mkuu.
 
Nacte kuna upuuzi mwingi sana kule sijui kuna shida gani. nacte ukipata chini ya gpa ya 4 basi umetaka mwenyewe, kule gpa za 5 za kumwaga mkuu.
Nacte hawahusiki ni chuo tu kikiamua kukaza. Chuo ndio kina peleka matokeo nacte.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…