Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni
Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu

Pili kumbe inapunguza uke
Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona utavikumbuka mana unaanza tena upya la sivo Ile methali Ile shindana kunya na tembo.....

Wanawake wengi wanapitia hii changamoto tena ukute Una operesheni nyingi aaah kila mara wanapunguza Tu cm kadhaa

Ni hatari jamani ukiona mwanamke amezaa kwa op muonee huruma jua washapunguza uchumi huko chini

Sio poa wakuu sio poa hakuna kitu kinamuuma binadamu kama kupunguzwa kwa lile eneo tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom