Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Huyu nadhani alimanisha kuongeza njia ukija kushona inakua kidgo imebana zaidi
Episiotomy inafanya uke upungue?
Nmeshangaa imekuaje tena

Sababu za CS kua nyingi
1 Ni salama zaidi
2 Kwa hospitali zina tengeneza mapato zaidi
3 Wataalamu wamekua wengi hivo haiihitaji uwe na sababu maalum sana (Strong Indication ) kufanyiwa Op
Dokta! Ambao nyuma kupo wazi wanaweza kujifungua kawaida bila shida yoyote?
 
Back
Top Bottom