Walio wazi nyuma wanaweza kujifungua kwa njia ya kawaida?kwan ya kukojolea si inajitegemea ipo kwa juu kidogo au
Kivipi hebu fafanuaWanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Hata kwenye kilimo na mifugo ng'ombe wanajifungua😂😂Hizi ndio nyuzi za maana sasa...
😜
Sio kilasiku kilimo na mifugo...🙄
ndio ila huwa wanashindiliwa pamba au nguoWalio wazi nyuma wanaweza kujifungua kwa njia ya kawaida?
Kwanza sio kila mtu akizaa atafanyiwa episiotomy (kuongezewa njia)Dah! Sasa mtu akizaa watoto 5 episiotomy ikihusika baadae siatakua hana kitu
ProveWanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Source: Trust me bro 😂Source: Vikoba buza
Hisi aibu sasa hivi ndo hawazitaki wanataka CS.ndio ila huwa wanashindiliwa pamba au nguo
Nyuzi kama hizi zinaongeza kipato zaidi kwenye hili taifa alloooo.....🤣Hata kwenye kilimo na mifugo ng'ombe wanajifungua😂😂
Jirani.....🤣Source: Trust me bro 😂
Mwl wetu hakutaka tuyajue hayo mambo ya matundu tofauti 😂😂kwani we haukusoma sayansi ya darasa la 6
ndo maana nikasema kule juu huwa wanatanguliza bahasha kwa manesi wa zam kama code yao😜 ndani ya bahasha kuna tujisent twa kumcare na kumfichia aibuHisi aibu sasa hivi ndo hawazitaki wanataka CS.
Sasa asiposema nyie mnajuaje kua hana break
Jirani karibu beer za yanga day geti liko wazi 😂Jirani.....🤣
Mtu aliyepata episiotomy anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya muda gani tena?Kwanza sio kila mtu akizaa atafanyiwa episiotomy (kuongezewa njia)
Episiotomy inakuja kama last resorts pale mtoto anapokua yupo kwenye lango ila kutokana na sababu kadhaa anakua amekwama hivo mnachana kidogo ili atoke
ona sasa kakunyima kuyajua mambo mengi mazuri😅Mwl wetu hakutaka tuyajue hayo mambo ya matundu tofauti 😂😂
Hivi pia nadhani ni ile aibu ya kuchunguliwa na madaktari au mara waingize mikono😂😂Hisi aibu sasa hivi ndo hawazitaki wanataka CS.
Sasa asiposema nyie mnajuaje kua hana break
Kumbe kuna hadi code! Bora umetusanua mapema ili tukienda tusihaibikendo maana nikasema kule juu huwa wanatanguliza bahasha kwa manesi wa zam kama code yao😜 ndani ya bahasha kuna tujisent twa kumcare na kumfichia aibu