Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Asante jirani, mie nipo hapa Reef One...🍺Jirani karibu beer za yanga day geti liko wazi 😂
Asante jirani, mie nipo hapa Reef One...🍺Jirani karibu beer za yanga day geti liko wazi 😂
Jirani Reef one si ilifariki nadhani mwingine akaichukua akaitengeneza upya inaitwa nini saa hii?Asante jirani, mie nipo hapa Reef One...🍺
Haijakufa, ila baba alishindwa biashara akaichukua kijana na ndio anaendelea kuipambaniaJirani Reef one si ilifariki nadhani mwingine akaichukua akaitengeneza upya inaitwa nini saa hii?
Kawaida tu baada ya kidonda kupona anaweza kuendelea kufanya mapenzi hata kujifunguaMtu aliyepata episiotomy anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida baada ya muda gani tena?
Anhaa sawasawa.Haijakufa, ila baba alishindwa biashara akaichukua kijana na ndio anaendelea kuipambania
Enzi hizo Nam hotel inawaka 🤣🤣Anhaa sawasawa.
Ukitembea dakika 3 hapo unafika kwetu kabisa nilikokulia.
Enzo hizo nakua naanza anza kwenda kula mishkaki bar nilikuwa namuona mheshimiwa Lissu anakata kinywaji Matei lounge counter kabisa.
Legend!Enzi hizo Nam hotel inawaka 🤣🤣
ndo maana nikasema kule juu huwa wanatanguliza bahasha kwa manesi wa zam kama code yao😜 ndani ya bahasha kuna tujisent twa kumcare na kumfichia aibu
Tayari mwandamizi ameshafika eneo la tukio.Uzi unanuka udhalilishaji
Cc: binti kiziwi
Hapana.op ya kawaidaLabda ulimaanisha EPISIOTOMY AMBAPO HUCHANA UCHI KISHA HUUSHONA TENA
Uzuri n kwamba uzi umeandikwa na mwanamke mwenzenu 😂Uzi unanuka udhalilishaji
Cc: binti kiziwi
Si kweli!! Usidanganye watu. Caesarian delivery ina risk nyingi na inamweka mama kwenye risk ya kupata complications nyingi.Conspiracy theory, caesarean section ni salama zaida kuliko pushing
Wenye sent zao ni nzur sana
Vibamia tumepata mkombozi 😂Eeh kumbe vibamia tujikite kwa wanawake wa operesheni🤣🤣🤣🤣
Hii ishu ya kushindiliwa pamba na nguo hua mnaitoa wapi?ndio ila huwa wanashindiliwa pamba au nguo
Angalia commentTayari mwandamizi ameshafika eneo la tukio.