Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Kujifungua kwa operesheni kuna punguza uke wa mwanamke

Anhaa sawasawa.

Ukitembea dakika 3 hapo unafika kwetu kabisa nilikokulia.

Enzo hizo nakua naanza anza kwenda kula mishkaki bar nilikuwa namuona mheshimiwa Lissu anakata kinywaji Matei lounge counter kabisa.

Umejifunzia mishkaki wapi vile?

Naelekea huko huko wiki hii yote, ndio maana Kizimkazi draft limekataa.

Tukirudi kwenye mjadala, maoni yako kuhusu suala la opresheni na nt..u
 
Umejifunzia mishkaki wapi vile?

Naelekea huko huko wiki hii yote, ndio maana Kizimkazi draft limekataa.
Anhaaa nimekupata!

ningekupokea… unfortunately niko mkoa wa mwisho Tz.

Tukirudi kwenye mjadala, maoni yako kuhusu suala la opresheni na nt..u
Deep down unajua sijaingia leba, ila siungi mkono hoja.
 
Anhaaa nimekupata!

ningekupokea… unfortunately niko mkoa wa mwisho Tz.

Deep down unajua sijaingia leba, ila siungi mkono hoja.

Kwakweli no shuhuda mwaminifu kabisa kwamba wewe sio mtu sahihi sana kutoa maoni.

Mleta mada ni kama amechanganya waungwana, kuna ile kuchannwa njia iongezeke au kupasuka ambapo inabidi mtu ashonwe, hii kidogo ingeleta maana kwamba maumbile yanakua madogo.

Sasa yeye amekaza opresheni ya tumbo ila madhara yanayokea kwingine.

Anyway, acha tusubirie wataalam.
 
Kama ni salama inakuwaje watu washuhuri wote Duniani wanapush na siyo CS?
Sisteri kasome zaidi kuhusu taarifa za afya, hii ndio njia salama zaidi ya kujifungua haswa kwa nchi zetu hizi za ulimwengu wa tatu. Kujifungua kawaida kuna complications nyingi sana. Hao watu maarufu unaowaongelea wana access na the best health care tofauti na majority.

Hii njia pia imepunguza vifo vingi vya akina mama na watoto.
 
Nilijifungua big baby mpaka akapata erb's palsy huwa nasema ningejua kama nitazaa mtoto bonge basi ningeenda CS
 
Back
Top Bottom