ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Alikua mkubwa sanaDooooh pole sana....ulishindwa kupush au mtoto aligoma kupita?
Alikua mkubwa sanaDooooh pole sana....ulishindwa kupush au mtoto aligoma kupita?
Itatengenezwa upya na mubabaDah! Sasa mtu akizaa watoto 5 episiotomy ikihusika baadae siatakua hana kitu
Mimi kuna dada angu anazaa wtt wa kg 4 na zaidi na hapati tatizo nyonga zake pana...Alikua mkubwa sana
Kumpanikisha kwa makusudi mtu mwenye sukari sio sawa 😂😂Wana simbaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahahaha hutaki kusikia uke kwa mwanamke...kwa sbb mwanaume hana ukeKumpanikisha kwa makusudi mtu mwenye sukari sio sawa 😂😂
Wanasema kuzaa mtoto wa kwanza mkubwa huwa inajirudia sasa sijui ni kweli au vipiMimi kuna dada angu anazaa wtt wa kg 4 na zaidi na hapati tatizo nyonga zake pana...
Naona mmekomaa na mada ya uke na ndugu yako ephen_Ahahaha hutaki kusikia uke kwa mwanamke...kwa sbb mwanaume hana uke
Sidhani kama ni kweli inategemea genes za mtotoWanasema kuzaa mtoto wa kwanza mkubwa huwa inajirudia sasa sijui ni kweli au vipi
Lakini siunajua wengi wanakimbilia Op jwa sababu ipi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu ni mdogo wangu nitamchapa naona anataka kutuchafua wana uke....
Mh na hivyo siku hizi wanaume wamekua mashetani yani wao ndo wanawaharibu wanawake zao halafu wanawasuport wafanye OP kwa sbb wanajua aibu yao...Lakini siunajua wengi wanakimbilia Op jwa sababu ipi?
Anayemfanyia hivyo mkewe hashindwi kumfanyia mtoto wakeMh na hivyo siku hizi wanaume wamekua mashetani yani wao ndo wanawaharibu wanawake zao halafu wanawasuport wafanye OP kwa sbb wanajua aibu yao...
otherwise wengine ni normal medical problems zinawapelekea kujifungua kwa Op...
👍Sijambo
Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi, nyuma wako wazi.!
Vimeharibu Sana Maisha Ya WatuSource: Vikoba buza
Leba nishaingia zaidi ya mara 1.Kukiwa wazi hakusababishi c section ifanyike...anaweza kuwa wazi nyuma na bado akazaa kawaida...! Siku ukiingia leba utakuja kugundua hata ambao awapo wazi nyuma huwa wanakunya wakiwa wanajifungua😅😅😅