win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
duniani kuna mambo ni hatari😅😅😅Kumbe kuna hadi code! Bora umetusanua mapema ili tukienda tusihaibike
duniani kuna mambo ni hatari😅😅😅Kumbe kuna hadi code! Bora umetusanua mapema ili tukienda tusihaibike
Kabisa, ila ulimwengu unanifundisha😂ona sasa kakunyima kuyajua mambo mengi mazuri😅
Kwamba wanaogopa wakiambiwa push itatoka sembe😄😄Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
We Dada umekazana na walio wazi nyuma.Walio wazi nyuma wanaweza kujifungua kwa njia ya kawaida?
Wazi nyuma kiaje? Humu wote wakubwa jamaniWalio wazi nyuma wanaweza kujifungua kwa njia ya kawaida?
Eeh kumbe vibamia tujikite kwa wanawake wa operesheni🤣🤣🤣🤣Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni
Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu
Pili kumbe inapunguza uke
Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona utavikumbuka mana unaanza tena upya la sivo Ile methali Ile shindana kunya na tembo.....
Wanawake wengi wanapitia hii changamoto tena ukute Una operesheni nyingi aaah kila mara wanapunguza Tu cm kadhaa
Ni hatari jamani ukiona mwanamke amezaa kwa op muonee huruma jua washapunguza uchumi huko chini
Sio poa wakuu sio poa hakuna kitu kinamuuma binadamu kama kupunguzwa kwa lile eneo tuwe wakweli
Nahisi anachanganya hizo procedure mbili tofauti.Hivi ulimanisha CS au Wanaofanyiwa episiotomy (kuongezewa njia)?
Chai.Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni
Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu
Pili kumbe inapunguza uke
Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona utavikumbuka mana unaanza tena upya la sivo Ile methali Ile shindana kunya na tembo.....
Wanawake wengi wanapitia hii changamoto tena ukute Una operesheni nyingi aaah kila mara wanapunguza Tu cm kadhaa
Ni hatari jamani ukiona mwanamke amezaa kwa op muonee huruma jua washapunguza uchumi huko chini
Sio poa wakuu sio poa hakuna kitu kinamuuma binadamu kama kupunguzwa kwa lile eneo tuwe wakweli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Source: Vikoba buza
Ungekua mkubwa ungeelewa!Wazi nyuma kiaje? Humu wote wakubwa jamani
Chai.Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Kwamba bolt zimeisha threads?Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Mleta uzi kala k-vantunachanwa chini ya tumbo ila inayopungua ni K, how?
bado ana maumivu tumuache kwanza 😅Mleta uzi kala k-vant
Hizo tafiti zenyu sikuhizi.......!!
Una ushahidi?uzuri hata mkeo atapigwa kisu Tu .utakuja kutueleza kama alikuwa wazi au lahndo maana nikasema kule juu huwa wanatanguliza bahasha kwa manesi wa zam kama code yao😜 ndani ya bahasha kuna tujisent twa kumcare na kumfichia aibu
Tumesema sio wote jamani😂Una ushahidi?uzuri hata mkeo atapigwa kisu Tu .utakuja kutueleza kama alikuwa wazi au lah
sijasema wote wanao fanyiwa op wanakuwaga wazi jamni soma taratibu😅,Una ushahidi?uzuri hata mkeo atapigwa kisu Tu .utakuja kutueleza kama alikuwa wazi au lah