Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Hiyo inaitwa sayansi kimuπ€£π€£π€£Inapunguaje na tumbo ndo huchanwa? Sijawahi ona tofauti mke wangu watoto 3 wote c- section
Umeanza mambo yako ππWanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Conspiracy theory, caesarean section ni salama zaida kuliko pushingWanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Zamani walikua wanajifungua kwa Op sababu za kiafya ila siku hizi wachache ndo sababu za kiafya.Umeanza mambo yako ππ
Kama ulijua mawazo yangu aisee! πWanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Yeah kwa siku hizi wanaenda deliberately kabisa nataka OP. Wengine wanasema hawataki maumbile yao yatanuke.Zamani walikua wanajifungua kwa Op sababu za kiafya ila siku hizi wachache ndo sababu za kiafya.
How?Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
Daktari umefikaπHow?
Wewe ushapata mtoto?Wanawake wengi wanaojifungua kwa Op siku hizi nyuma wako wazi.!
ππ πππ€£πππSource: Vikoba buza
BadoπWewe ushapata mtoto?
Alipasuliwaje,Ile ya wima tumboni ? Au Chini ya tumbo?Inapunguaje na tumbo ndo huchanwa? Sijawahi ona tofauti mke wangu watoto 3 wote c- section