Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
Mara ya mwisho kutumia dawa ya minyoo lini???....Kama ni mda mrefu ( zaidi ya miezi6 )......nenda pharmacy wakupatie dawa ya minyoo (anti-helminth ) preferably mebendazole.....isiposaidia wahi kwa daktari