Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyo...am in the same boat sweetheart,...yaani lililokuwa wazo zuri la Gaga limenitumbukia Nyongo!
Ni tuhuma nzito sana hizi kwa JF, hususan waliojumuika hiyo safari ya Mbugani.
...ngojea, usilale kwanza...
Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyo
Yaaani kakaa stand by anataka hata mnyama mmoja akikatiza asimpite na yeye aone...ha hhhahhahh hhaaa!...Gaga nihurumie mbavu zangu!
na nilivyo tutusa kwenye mambo hayo ya kuhamisha link, jasho lingenitoka, wangeelewa tu.tunajifurahisha tuhe he heee
wewe utaambiwa ulete link hapa ushindwe lol
Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyohe he heee
wewe utaambiwa ulete link hapa ushindwe lol
Yaaani kakaa stand by anataka hata mnyama mmoja akikatiza asimpite na yeye aone
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.leo ningesutwa leo naona haa haa haaaaaaaa lol
mj1 umeiona link hiyo????????????/
Jamani si Arusha? kwani ana nini?Mi najua wapo arusha, mhhh nisije sutwa mbu mie nakuchangamsha tuLOL!...mnh,
ama Gaga umenichekesha sana usiku huu!...
dah,...huyo dada aliyesuka 'twende kilioni' ndio unamfananisha na Lizzy?
ama wewe, ha ha haaaa ha!!!
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.
Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe
Mie pia kanisikitisha sana Dinnah, kaachwa vibaya sana, eti connection, mijitu ya vijijini utaijua tuThe Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.
Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe
Jamani si Arusha? kwani ana nini?Mi najua wapo arusha, mhhh nisije sutwa mbu mie nakuchangamsha tu
We si umeona kama wale wasafiri kwa mfano unaenda arusha utakuta mtu hataki kupitwa na kila kitu kinachoonekana kwenye kioo cha mbele, yaani kila saa anachungulia mbele huwa nachukiaaaami nimecheka na huyo aliekaa staili ya kutopitwa na mnyama lol
we gaga mgomvi unajua??????/lol
The Boss..................naomba nikaipumzishe nafsi yangu. Yatosha kwa leo.
Ninamshukuru MUNGU kuwa niliianza siku kwa furaha ya aina yake, ikatumbukia nyongo kwa habari ya Dinnah na JF Arusha ........but now my spirits are high. ..... anipendaye na kunithamini, amenitunuku. Thanx GOD, My Almighty GOD.
Mbarikiwe
Amevunjwa moyo tatizo ukiingia humu unasoma majina kwanza ndio unafungua usiyemjua unambwaga haya kampe moyo maana ameomba apewe moyokabla hujalala natamani jua hiyo thread ya dinnah niipi?
ina nini?????
Amevunjwa moyo tatizo ukiingia humu unasoma majina kwanza ndio unafungua usiyemjua unambwaga haya kampe moyo maana ameomba apewe moyo
Huyo dada hapo niliquote vibaya sio lizzy kweli huyo
hahahahahaha umenibamba eeeeeeAiseeeee....!
Ukiona ......... tu ndio unarukia tena post ya mwisho lolha ha haaaa
umenishtukia ehh??????
nikiona Gaga tu ndo nasoma lol